JK mjini Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK mjini Arusha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nduka Original, Jan 20, 2012.

 1. Nduka Original

  Nduka Original JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkulu karibu arusha siku ya juma tatu kwenye mazishi ya jeremiah sumari. Kama uko busy unaweza potezea kwani ni juzi tu umetoka kumzika regia mtema.
   
 2. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,625
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  JK kayataka mwenyewe kuhudhuria kila msiba ili kuwaziba wapinzani wasiitumie misiba vibaya kisiasa!!!!!

  Kutokana na hilo hana budi sasa kuhudhuria mazishi ya Sumari atake asitake maana ataoneka kwa Regia alihudhuria iwaje asihudhure huu wa Sumari tena ukizingatia ni kutoka chama chake.

  Nasikia kipindi ulipokuja kufunga mafunzo TMA ulishukia Arusha Airport badala ya KIA kwa sababu za kiusalama sasa sijui na safari hii utashukia wapi maana nasikia machalii wa Ar Chuga hawakumaind kabisa.

  Changamoto ninayokupa anza kufikiria jinsi utavyolichakachua jimbo la Arumeru huku ukijua vita inaweza kuanzia huko.

  Unakaribishwa Arusha na wenyeji wa mji huo mkuu wa Kaya.
   
 3. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2012
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Anaheshimu sana misiba, umesahau?
   
 4. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,054
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  JK anampenda mtu aliyekufa kuliko aliye hai!
   
 5. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,969
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Itifaki izingatiwe kama nafasi na usalama utakuwepo maana watu wa Arusha wanapenda maandamano.
   
 6. A

  AlamaZA NYAKATI JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JK hana ujanja kama alikuwa anakwepa A town kwa tukio hili atafika tu. Ngoja tuone taingia kwa gia nmba ngapi
   
 7. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,969
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  mbona alipokwenda Ifakala kumzika yule wa kwenu hukusema hayo? au kwa sababu sumari niwa CCM? Nilitegemea Ifakala mungeandamana kupinga JK kuhudhuria mazishi kwani sera yenu hamtaki Rais kuonekana kwenye misiba lakini kwa kuwa ulikuwa ni msiba wenu hamkusema anapenda waliokufa kuliko walio hai
   
 8. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #8
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,969
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kama unathibitisha kwamba Arusha hakuna usalama basi JK hana sababu za kuja mazishi ya Sumari
   
 9. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #9
  Jan 20, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,995
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Aje asije huyu kiongozi ni sawa na kimvuli ktk serikali yake legelege mwanzo mwisho!
  Taifa limepata hasara sana kwa viongozi kama hawa!

  Hv zile siku 100 ya warning yake haijafika?
  Kikosi hiki 2858 kiko wapi?
   
 10. Bhbm

  Bhbm JF-Expert Member

  #10
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 717
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ifakara alikwenda kumzika mbunge, huko Arumeru kwani aliapishwa kuwa mbunge?
   
 11. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #11
  Jan 20, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,328
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 160
  Wakuu,

  Wilaya mpya ya Meru, lilipo jimbo la Arumeru mashariki ipo nje kidogo ya jiji la Arusha. Jk anaweza kwenda ingawa nako cdm wana'dorminate'. Tatizo kubwa kwa Jk ni "kukatiza" jiji la Arusha. Lakini anaweza kufika Meru na kurudi bila kufika jijini Arusha kama atatumia uwanja wa KIA. Kwahiyo tusishangae kusikia au kuona amekwenda kwenye Mazishi ya Sumari ila tu tuendelee kujiuliza ni lini 'atakatiza' jijini Arusha.
   
 12. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #12
  Jan 20, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  inamaana hii ndo kazi amebakiza? pamoja na kuweka mawe ya msingi na kufungua maofisi
   
 13. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #13
  Jan 20, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,456
  Likes Received: 1,148
  Trophy Points: 280
  At least he has got something he can be proud of... Ceremonies!
   
 14. s

  sirghanam JF-Expert Member

  #14
  Jan 20, 2012
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 289
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Siasa mpaka kwenye MISIBA...
   
 15. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #15
  Jan 20, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,839
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135

  acha utani wa ukweli kweli
  barabara,madaraja,shule,majengo ya ofisi na hoteli...........................
  sijui kazi ya Bilal itakuwa ipi??? au kuna 10%????
   
 16. B

  Baba Dorcas Member

  #16
  Jan 20, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jk Karibu kwetu!
   
 17. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #17
  Jan 20, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Nasikia kuna maandamano ya wanafunzi wa Ilboru huko wanadai Mkuu wa shule amechakachua pesa mpaka maafali amesitisha kisa hakuna fedha?

  Nimeisoma hiyo toka mtandano wa wana Ilboru.

  Enzi za Bino hakukuwa na upuuzi kama huo.

  Kazi ipo   
 18. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #18
  Jan 20, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,792
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Bilal kazi yake ni kupokea wagen wa Mkulu pale magogoni!hana kazi nyingine maana Mkulu anafanya zote.
   
 19. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #19
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 6,955
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  Kama atakuja basi anakazi kubwa sana ya kupambana na wanafunzi wa pale Makumira! Nahisi atashukia KIA halafu atachukua Helicopta mpaka kwenye msiba halafu atarudi kama alivyokuja! Akisikia habari za Arusha mjini huwa hapati usingizi.
   
 20. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #20
  Jan 20, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,327
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  he he he jk ana kazi kubwa.....hao mawaziri nao stupid
   
Loading...