Captain wa meli iliyozama Nungwi yuko wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Captain wa meli iliyozama Nungwi yuko wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NgomaNgumu, Jan 20, 2012.

 1. N

  NgomaNgumu Senior Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 193
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni vizuri tukaiga mifano mizuri hasa ktk mambo muhimu kama yale yanayohusu kupoteza maisha ya watu. Meli ilyozama Nungwi mpaka leo hakuna mtu yoyote aliyekamatwa, kweli kwa hali hii tutafika?.

  Angagalia captain wa boti Costa Concordia iliyozama ktk ufukwe wa Italy siku mbili tatu zilizopita yuko wapi. Hii ndio mifano ya kuigwa vingenevyo kila siku watu watachinjwa na malori, mabasi, meli na hata bodaboda. Kamata captain wa meli iliyozama Nungwi weka ndani maneno mengine baadae
   
Loading...