JK ni rais anayetumia madaraka yake kulipiza visasi?

Haya ni madai ambayo yamekuwa yakitolewa na watu. Je yana ukweli

wanafunzi wanaofukuzwa kila leo udsm ni wahanga wa hilo. kisa eti kuna baadhi yao walimzomea kipindi fulani huko nyuma. watu wanabana pua kulizungumza hili, lakini ndiyo hali halisi na mtu yeyote asiniulize evidence.

jk si kiongozi mzuri.
 
wanafunzi walifukuzwa kwa sababu walivunja sheria za chuo (by laws) ambazo walizisomewa pale kwenye m degree ktk wiki ya kwanza ya orientation.utamhusishaje kikwete.fanya kazi wewe acha kulalamika apa.
 
Jf haijakosa watu waliosoma na jk.
Walete tabia yake toka walipokuwa wanasoma nae.
Mana ni ukweli usiofichika kuwa hata waliosoma nae na ambao wapo humu jf wanatupa wakati mgumu kumfahamu jk.
 
wanafunzi wanaofukuzwa kila leo udsm ni wahanga wa hilo. kisa eti kuna baadhi yao walimzomea kipindi fulani huko nyuma. watu wanabana pua kulizungumza hili, lakini ndiyo hali halisi na mtu yeyote asiniulize evidence.

jk si kiongozi mzuri.
Any way mimi ngoja nisichangie hapa, maana yanazungumzwa mengi wengine wanasema eti kifungo cha babu Seya nacho kimetokana na roho yake ya visasi inasemekana jamaa alimkamulia sehemu

wewe una chuki binafsi na kikwete,jichunguze halafu pia una gubu.
wanafunzi walifukuzwa kwa sababu walivunja sheria za chuo (by laws) ambazo walizisomewa pale kwenye m degree ktk wiki ya kwanza ya orientation.utamhusishaje kikwete.fanya kazi wewe acha kulalamika apa.

habari zenu za kwenye kitchen party na kwenye kahawa ndo unatuletea hapa.

Nahisi Hojatete ni ID ya Rweyemamu hii naona wanafanana matamshi.
 
Back
Top Bottom