Ushauri kwa CHADEMA: Remija awe successor wa marehemu Regia

kitimtim

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,600
1,921
Kwa vile pacha wa marehemu alikuwa akimsaidia marehemu katika kazi nyingi za kibunge na kisiasa,na tumeona marehemu alikuwa na mvuto mkubwa kwenye maisha ya kijamii na kisiasa- pacha wa marehemu ambaye amefanyakazi kama mfuasi wa marehemu arithi mikoba
 
Harufu ya usultani!! Kama hana kadi ya CDM akate leo na kupewa? Vile vigezo vilivyotumika wakati wa kuwapata akina wawakilishi wa viti maalum vitakiukwa mkuu!

Nadhani ni vema wakaangalia kwenye zile kura/vigezo vyao waone ni nani anafaa ndani ya CDM.
 
josephine slaa ndio anajiandaa kupokea iyo nafasi

Kwa kawaida list iko tayari NEC hivyo hakuna jina litakaloongezwa. Tume itakachofanya ni kuchukua tu kwenye orodha ya majina yaliyopo huko. Ni kweli anayefuatia anajulikana kwani yule orodha iliishia kwake na hakuchaguliwa anajijua. Wasipofanya hivyo wanakuwa wamechakachua na itakuwa mfano mbaya.
 
hakunaga kitu kamahicho, tutateua kufuatana na taratibu, au unataka tena yatokee ya mbunge Papaa Mte......
 
Tanzania haitawaliwi kifalme, na wala CHADEMA haiteui/chagui viongozi kwa fadhila!
 
Siasa ni interest ya mtu, je kama yeye hapendi siasa? toa hoja baada ya kuwa na uhakika na unachokinena
 
Hapana huo sio utaratibu wa chadema wala wa tume ya uchaguzi majina yapo NEC kitambo na ndio yatakayotumika kumpata mrithi wa Marehemu Regia
 
Hili halitawezekana maana orodha ya Wabunge wa viti maalum kwa vyama vote vyenye sifa ya kuwa na wabunge wa viti maalum tayari ipo Tume ya Taifa ya uchaguzi,kwa sasa NEC ndio wana jukumu la kutangaza ni nani ataziba pengo la Regia bungeni......

Btw.......Remija yeye ni mwana CCM.....
 
Hayo mambo ya kupeana peana vyeo na nafasi serikalini ni moja ya sababu zilizopelekea nchi yetu kuwa kama jalala. Kwahiyo achana na mawazo mgando. . .
 
Hili halitawezekana maana orodha ya Wabunge wa viti maalum kwa vyama vote vyenye sifa ya kuwa na wabunge wa viti maalum tayari ipo Tume ya Taifa ya uchaguzi,kwa sasa NEC ndio wana jukumu la kutangaza ni nani ataziba pengo la Regia bungeni......

Btw.......Remija yeye ni mwana CCM.....

Ahsante kutufahamisha itikadi ya pacha wake na mpendwa wetu Regia.

Hata kama angekuwa chadema asingeweza kupata nafasi hiyo kwakuwa majina yapo NEC tangu mwaka juzi. Bila shaka mrithi atatoka katika orodha ile.
 
Hili halitawezekana maana orodha ya Wabunge wa viti maalum kwa vyama vote vyenye sifa ya kuwa na wabunge wa viti maalum tayari ipo Tume ya Taifa ya uchaguzi,kwa sasa NEC ndio wana jukumu la kutangaza ni nani ataziba pengo la Regia bungeni......

Btw.......Remija yeye ni mwana CCM.....

La uanachama silijui ila kwakuwa ni mtumishi wa serikali itakuwa ngumu kwake kuacha kibarua chake. Hata hivyo katika chama cha CDM hakuma usultani wa kurithishana hata kama sheria ingekuwa inaruhusu.
 
Kitu kama hicho hakiwezi kufanyika, lakini pia hujui kwamba kuzaliwa pamoja si kufanana?mnaweza mkawa mapacha lakini kila mtu akawa na interest na tabia tofauti kabisa!! so hii hoja yako ni fallacy of generalization.....
 
Kwa vile pacha wa marehemu alikuwa akimsaidia marehemu katika kazi nyingi za kibunge na kisiasa,na tumeona marehemu alikuwa na mvuto mkubwa kwenye maisha ya kijamii na kisiasa- pacha wa marehemu ambaye amefanyakazi kama mfuasi wa marehemu arithi mikoba

Ubongo wa mtoto wa miaka minne ukiwekwa kwenye m'bichwa wa mtu mzima matokeo yake ndio haya.
 
Kwa vile pacha wa marehemu alikuwa akimsaidia marehemu katika kazi nyingi za kibunge na kisiasa,na tumeona marehemu alikuwa na mvuto mkubwa kwenye maisha ya kijamii na kisiasa- pacha wa marehemu ambaye amefanyakazi kama mfuasi wa marehemu arithi mikoba

Dunia nzima hii inawezekana KOREA KASKAZINI NA CHADEMA TU
 
Back
Top Bottom