Serikali iwajibisheni BOT kwa kutuibia/kutudanganya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali iwajibisheni BOT kwa kutuibia/kutudanganya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KIBURUDISHO, Jan 20, 2012.

 1. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 953
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  WanaJF mambo vipi?,natumai mu wazima.
  Nimeshindwa kuelewa wanajf wenzangu huu mlolongo wa madudu unaofanywa na baadhi ya viongozi waliopewa dhamana ya kuongoza maamuzi yaliyo sahihi kutokuwa na uzalendo na nchi yao.Hivi BOT wanatudhihirishia kuwa sisi ni matajiri sana wa kuchapisha matoleo mbalimbali ya fedha? Tukiwa tunatumia thamani moja ya fedha yenye miundo miwili tofauti?? na kama walilolifanya ni sahihi mbona wameshindwa kuweka kikomo cha matumizi ya hizi pesa za zamani?ambazo ndizo(orijino) PIA BOT WAMETULETEA UMASIKINI MKUBWA:Nasema hivyo kwa sababu ndani nina pesa hizi mpya zenye thamani ya sh 35,000 nilikwenda nazo benki ya CRDB,NMB kudepost lakini walizikataa ukiwauliza sasa hizi nitazipeleka wapi hawakuelezi tena wanakuambia wamekatazwa na benki kuu kuzichukua sasa najiuliza kwa mwendo huu wa 10% si tutaitundika nchi juu ya mti?.
   
 2. P

  PAFKI Senior Member

  #2
  Jan 20, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Pole kaka hii yote ni kutokana na udhaifu wa kikwete kukemea na kuwachukulia hatua watu wanaoharibu kazini,

  Ukweli waliofanya order na waliotengeneza fedha hizo wapo na hautasikia wakiwajibishwa kwa fedha mbovu kama
  hizo,kakaa kimya kama hajaziona leo ukimuliza kwann atajibu ''HATA MIMI NASHANGAA''
   
 3. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hujafunguka vizuri...kwanini wamekataa kupokea fedha ulizowapelekea?
   
 4. Clarity

  Clarity JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2012
  Joined: Jul 6, 2010
  Messages: 809
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 80
  Nenda nazo BOT wanazipokea kwa sababu wanajua ni madudu yao
   
Loading...