Naomba msaada kwa anayefahamu vizur kuhusu compassion Internation. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada kwa anayefahamu vizur kuhusu compassion Internation.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Baba Dorcas, Jan 18, 2012.

 1. B

  Baba Dorcas Member

  #1
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Heshima mbele kwanza! Naomba kutoa pole kwa msiba ulio2pata sie wapganaj hasa vijana kwa kuondokewa na Jembe letu la majira yote, dada yetu mpendwa, Regia Mtema, let her R.I.P
  Ndg wana JF, naomben kusaidiwa kwa anaefaham kwa undan zaid au anayefanya kaz compassion anisaidie.
  Nimebahatka kupga interview na ofis za compassion na bahat yangu nzur nmeptishwa! Ndan ya wiki hi nkapewa mwongozo na utaratibu wa kaz, nkausoma vzr, 1st nmeenda moja kwa moja kwny eneo la Sera ya mshahara. Eneo hl liko fresh coz n km wamechukua sera ya Serkal, NSSF ipo, matibab ipo, na kupanda kwa mshahara kupo pia! Lakn hakuna overtime na ni lazma kupga job at anytime withaut limit time! Leo nkapewa barua ya kuitwa kazn, na ikaonesha kua basic salar ni laki 382,141 ukiweka na marupu rup mengne ya nyumba, matibab na Usafir ni lak TSH 532,141/= Kwa mwez. Hu ni mshahara kwa ngaz ya Ukurugenz kwan ndo nafas nmepewa, af kwa level ya degree. Kilichokuja kunpa headache ni kwamba hakuna kupewa hela ya kujikimu, nmeongea nao wakasema hakuna kitu km hcho, eneo lenyew ni interior mbaya, boda boda ni 2thau kwend tu! Ndg zangu naomben ushaur, af kitu kingne, vp hua mishahara ya wafanyakaz inalpwa kutoka wapi, je ni compassion international au ni kanisa linalpa waajiriwa? Naulza hv coz hapa nlpoitwa inaonekana kua salary ntakua napokea kwa Mchungaji, ndo system yenyw hata kwengne? Af jamen mshahara wa Mkurugenz wa compassion ni lak 3 kwel? Mkataba nmeambiwa ni 3 yr b4 renewing. Jamen mi fresh frm xcul, af ni mwl ninaesubr ajira ya govnment, plz nsaidien il post zkitoka niwe nshajua wapi nkomae napo zaid, kwa sasa npo njia panda! Af achilia mbal hyo salary, vp compassion kunaweza kuwa na maslah badae??
  Nisaidien ndg wana jf.
   
 2. Hassan J. Mosoka

  Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

  #2
  Jan 18, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 647
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mkuu kwanza hongera kwa kupata kazi,
  Nadhani umepata kazi ya kuwa mkurugenzi wa kituo zamani waliitwa waratibu wa vituo. Ingawa mwajiri wako ni Kanisa katika ile idea ya ushirika wenza lakini mshahara wako utatoka compassion moja kwa moja. Kwa sasa kafanye kazi upandishe cv yako usiumize kichwa na jina la cheo chako wewe ni mratibu tu wa kituo ingawa kwa sababu za kushangaza mwaka 2010 walibadilisha title ya ofisi hii kuwa wakurugenzi.
  Sijui unapouliza mslahi baadaye unamaanisha nini, but as far as I know u are responsible to shape your future
   
 3. B

  Baba Dorcas Member

  #3
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thr your ma frnd! As u knw, sku hz hakuna ki2 inaitwa 'WITO' Kila m2 anataka maslah kwanza, ukzngatia kua mi n kijana, afta loo npo kwny prepartn ya mariage octb dis yr, hvo nataka kujua km kwel kuna maslah next or ndo ile unafanya kaz then unaambiwa 2mwombe Mungu atafanya njia? Plz help m 2 knw in deep zaid. And z t true dat no pesa ya kujikimu wanatoa?
   
 4. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #4
  Jan 18, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,071
  Likes Received: 7,553
  Trophy Points: 280
  Nenda kwa amani, ukaufanyie kazi ushauri wa Makondo, kisnyume na hapo nitakuonea huruma.
   
 5. B

  Baba Dorcas Member

  #5
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mpendwa, vission ndo hua zna2fanya 2fanye kaz fulan kwa kupenda au kutokupenda! Then shda huchochea zaid kuji2ma. Ushaur wako ntautendea kaz positivly. Bt naomb unshaur, ntafanyaje sasa il nianze lyf wakat sna hata cent mfukon? Af ntakua naendaje job na eneo lenyw ni mbali na barbar kuu, evry day cost 5thausand 2 reach thr? My frnd, ril i love that work na npo tayar kufanya chchte ilmrad nsikose ile job! Mchungaj wa eneo kanionesha nyumba maeneo ya hapo kituon bt it cost 50 thau @mwez. Nishaur nfanyeje plz!
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Jan 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  dah...mkuu...kuwa serious kidogo basi kwenye maandishi....unaandika kibobish sana....
   
 7. B

  Baba Dorcas Member

  #7
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Una mana gan mkuu, 'kibobish'?
   
 8. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #8
  Jan 18, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hauandiki kisomi, unaandika as if uko fomu faiv afu uko FB. Mwalimu haandiki hivo...

  Una tatizo sana na self esteem yako, hujiamini na huamini uwezo wako!

  PS: Usisingizie kuwa unabandika kw a kutumia rununu kwa sababu hata mimi natumia hiyo hiyo na sentensi zinakamilika.
   
 9. B

  Baba Dorcas Member

  #9
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wee! Najiamin sana, ndo mana nkapta, i thnk nngekua sjiamin sngeptishwa! Nmepgwa interview na difrnt pple kmataifa, na sjapta kwa upendeleo, hakuna anaenfaham! Plz self esteem nnayo tena nzuri. What i nid frm u ni kunpa raman jins gan ya kuanza new life na changamoto hzo nloziorodhesha hapa! Plz let u judge the contents and not structure or th way used 2send msg. Upo tayar kunishaur? Au unaifahamuje compassion na huduma zake kwa wafanyakaz wake? Hilo ndo swal langu.
   
 10. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #10
  Jan 18, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Ulitafuta kazi, umepata kazi, sasa acha kazi, uone ilivyokazi, kupata kazi!
   
 11. B

  Baba Dorcas Member

  #11
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu umesoma lugha? Mwl wako wa kiswa alikuwa nan plz. Ushaur wako umengusa sana! Umeandka kwa kuzngatia urari wa vina na mizani. Gud!
   
 12. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #12
  Jan 18, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Haya bwana mdogo, nenda kapate uzoefu na usichoke kuwa na fikra za mafanikio zaidi. Uwe thabiti kwenye kazi zako na mahiri kiasi cha kutosha. Acha ufisadi na mawazo ya "kutoka" fasta fasta. Nawaachia waungwana watakuja na mengi zaidi.
   
 13. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #13
  Jan 18, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Utafkiri anatuma sms bana!!
   
 14. B

  Baba Dorcas Member

  #14
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nmewaelewa vizuri, lakin naamin hata nyie mmenipata ni nin nataka toka kwenu! Nashukuru kwa wale walionielewa na wakatoa ushaur na comments zao! Thanks sana.
   
 15. Hassan J. Mosoka

  Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

  #15
  Jan 18, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 647
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mkuu unapofanya mawasiliano kwa njia ya maandishi hasa kuhusiana na taaluma ni muhimu utumie lugha ya kitaaluma inayoeleweka na yenye staha, Manake katika nchi zingine unapoomba kazi unafuatiliwa mpaka facebook kuona maisha yako binafsi na jinsi unavyo express feelings zako, wanachotafuta pale ni namna unavyotumia lugha na kama una staha. I would advice you kwamba kafanye kazi upate uzoefu na ujuwe nini kinaendelea nje ya shule.
   
 16. B

  Baba Dorcas Member

  #16
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thax sana! Nmekuelewa vizuri!
   
 17. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #17
  Jan 18, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Gurta hapo umemshika maksai kwa pembe zake, kama ni mwalimu ataelewa.
   
 18. bennynho

  bennynho Member

  #18
  Jan 19, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  nyie mnaomjaji kuhusu uwakilishi wake wa maandishi...mnamuonea wivu kuhusu yeye kupata kazi hamna lolote wanaume kama mabinti!
   
 19. B

  Baba Dorcas Member

  #19
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hv kweli eee!
   
 20. B

  Baba Dorcas Member

  #20
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Af jaman swal langu lnataka mnisaidie kuielewa zaid compassion international jns gan inavyofanya kaz na wafanyakaz wake, af mnipe mbinu za kuanza maisha. Wabongo ndo mana 2nafeligi kwenye exams, hatuelewagi maswal na jins ya kujb maswal. Sasa kwel kwa tathmin ndogo tu, ni vp sasa mmenisaidia kwa swal langu? Naomba 2ache kuvamia mada!
   
Loading...