Waandishi wa habari wengi ni wasaliti

RUV ACTVIST.

JF-Expert Member
Jan 14, 2012
472
110
Kunatetesi kwamba waandishi wa habari wanajua siri nyingi za nchi inavyoibiwa lakini hawasemi kwa vile wanapewa pesa na wa kubwa, kwa maana kwamba wanatumika sana kuficha maovu. je tetesi hizi ni ukweli kiasi gani?
 
Ni lahisi kwa mwandishi wa habari kuwa mchunguzi kuyajua hayo lakini sio lahisi kwa mchunguzi wa maswala ya kialifu kama CID,kuwa mwandishi wa habari.Hivyo tofautiya Mwandishi atakapokuwa mchunguzi ananafsi kubwa ya kuwa mwoga tofauti na CID au yoyote aliye kwenye fani hiyo ya uchunguzi.Hivyo kwa woga wao huo walio wengi wamekubali kutumika kutetea maovu kwa kwenda mbele.
 
Back
Top Bottom