Ufafanuzi;mtu hutambulika kuwa mbunge baada ya kuchaguliwa au baada ya kuapishw?

PAFKI

Senior Member
Sep 30, 2011
116
38
Naomba mnijuze wana JF kwani mbunge hutambulikaje maana ninatatanishwa sana na suala la wanaedai mbunge wa CCM (Sumari) aliefariki akiwa bado hajaapishwa,ilikuwaje na itakuwaje?

1.Je alikuwa anapata malipo yote sawa na wabunge wengine?

2.Kama invyosemekana hakuwa ameapa atapata kutendewa kama walivyotendewa wabunge wengine walifariki nina maana atafunikwa hadi bendera ya taifa?
 
Mara tu mkurugenzi wa uchaguzi anapotangaza, na malipo/marupurupu anakunja kama kawa! kuapa formalities tu
 
Back
Top Bottom