Mbona siku hizi watu hawaimbi nyimbo za kizalendo?

dfreym

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
342
87
Siku zinavyo zidi kwenda ndo nyimbo zinapotelea mbali, mfano, ni akina nani utawakuta wanaimba...
Tanzania Tanzania, nchi yenye mali nyingi
watu wengi wa ulaya wanaililia sana
nimeona ndege nyingi
chini wametia fora......

KWANINI HAZIIMBWI? JE NI UBIZE WA VIONGOZI, WANANCHI MPAKA WANATAALUMA, AU TUNAONA AIBU, KUUIMBA WIMBO HUO KWANI NI KAMA MTU KUMSIFIA MKE WAKO KWA JAMAA "ANAYETEMBEA" NAYE?
 
Kwa sababu viongozi wazalendo hawapo - wapo mafisadi tu. Sasa wawaimbie nyimbo hizo mafisadi?
 
Ha ha ha ha! Mkuu umenikumbusha enzi za "kaburu chinja ...". Kama ilivyo kwa mchakato wa vazi la taifa, nadhani umefika wakati sasa kwa serikali kupitia wizara husika kwanza "kutafuta chanzo cha kupotea kwa uzalendo", na pili kuunda kamati ya kutafuta nyimbo za kizalendo.
 
Back
Top Bottom