Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakati wa utawala wa Hayati baba wa taifa, alianzicha chuo cha uongozi Kivukoni baada ya kuona kuna tatizo la viongozi waadilifu na wazalendo.Hatua hiyo ilisaidia sana wakati wa uongozi wake ila...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nimeshangaa sana eti msafara wa makamu unakimbia 80kph pale korogwe kwenda mombo...ile terrain is extremely dangerous hata ukiwa unaenda 60kph hivi hawa viongozi wetu hofu ya nini mpaka kukimbia...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimekuwa nikijiuliza, hivi ni kwanini wajumbe wa nyumba kumi hawamo katika muundo wa utawala wa serikali lakini wanajifanya kama wanatawala wananchi wote. Hata serikali za mtaa hutaka utambulisho...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
jamani naombeni msaada mimi na wanafunzi wenzangu kama 40 tumepanga mwezi ujao kwenda kutembelea mikumi national park.tulikuwa tunataka kujua kuhusu gharama halisi kama zakuingia getini pamoja na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimekuwa nikiguswa sana na hali ya mazingira ya Shule ya msingi Muhimbili. Imekuwa ni kawaida kwa maji machafu kufurika na kumiminika katika mazingira ya shule hiyo. Hali inakuwa tata zaidi...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kuna mama mmoja alikuwa mwalimu wa sekondari kwa muda wa miaka 30, baadae akapata green kadi kwenda marekani. Sasa amerudi eti adai amefuata mafao yake ya ualimu ambayo ni kama milioni 100. Hivi...
0 Reactions
0 Replies
968 Views
Hakuna ubishi kuwa madai ya madaktari ni ya msingi na yanayohitaji mrejeo wa haraka toka serikalini ili kunusuru maisha ya wagonjwa masikini.Ingawa haiwezekani wakagoma wote kwa sababu ya tofauti...
0 Reactions
0 Replies
903 Views
Ndugu zanguni habarizini za weekend \najua wale wa masaki sasa wako na kelele za gbisto,na nyingine nyingi nimewiwa kuuliza dk wetu cyril nini kimemsibu afya yake inatia huruma jamani amekuja...
1 Reactions
39 Replies
47K Views
watu wanaosadikika kuwa askari wa jiji la mwanza,wameendesha zoezi la kuvunja mabanda na meza za wafanya biashara ndogondogo katika maeneo mbalimbali hususani maeneo ya nyakato buzuruga na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni taarifa niliyoipata inamalizikia kwenye ITV breaking news maeneo ilikotokea ajali ni kati ya milima ya usambara na Korogwe tafadhali watakao kuwa kwenye eneo la tukio mtujuze!!!!.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Unaweza kupata maswali mengi kuhusu msimamo wa kiongozi wako juu ya maswali mbalimbali ya kiutendaji wa viongozi waliochini yake.jambo la kujiuliza kabla hujafikia hatua yoyote ni kujua sababu za...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wana jf naomba kujua, kwanini katika hatua za "evolution" hatuoni viumbe walio evolve nusu e.g nusu chura nusu mjusi, nusu mjusi nusu ndege au nusu mjusi nusu sokwe? Badala yake tunaona chura...
1 Reactions
7 Replies
996 Views
Jengo kuu la utawala udom wafanyakazi wake wamekumbwa na hali ya sintofahamu toka juzi baada ya chumvi ya kuwekwa kwenye mboga kumwagwa milangoni na kwenye macorridor huku kukiwekwa alama ya...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Imebainika kwamba mtumishi wa bunge aliyeuawa hivi karibuni,marehemu Nicodemus L. Senge alitumia cheti cha Inspekta Nicodemus Lucas Senge kujipatia ajira! Nanukuu"Mbali na mgogoro wa kiwanja...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Sijasimuliwa nimetoka sasa hivi muhimbili, hali ni ya kuhuzunisha sana wagojwa ambao wanahitaji msaada wa daktari hawana la kufanya hakuna Daktari yeyote zaidi ya manesi ambao wapo wodini tu...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Mtoto Azra, akiwa amepakatwa na Baba yake mzazi akiwa na Mama yake mzazi wakati walipokuwa nje ya Mahabusu ya Mahakama Kuu jijini Mbeya wakati walipofikishwa kwa ajili ya kusikiliza kesi yao...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Naomba kufahamishwa hivi,kama nataka kumzuia kiongozi yeyote yule alie nje ya nchi kutokurudi nchini kwa yale mambo mabaya alietufanyia sisi wananchi wake. Ni hatua gani naweza kuzichukua ili...
1 Reactions
2 Replies
979 Views
Jamani ule mpango wa serikali kulipa watumishi wake mishahara ya januar umeanza kutekelezwa au ilikuwa mbwembwe zao tu. Kwa alie na taarifa rasmi ya utekelezaji wake atujuze!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
hatimaye serikali imeridhia kuwarudisha madaktari wanaopata uzoefu kazini(medical interns) ambao walifukuzwa kutoka hospitali ya taifa muhimbili hivi karibuni.haya yamesemwa na ujumbe wa waziri...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Kwa sisi akina mama porojo, tuli-mind sana siku tulipoona hakuna mwanamke hata mmoja katika safari ya chadema kwenda kuonana na Rais kikwete Ikulu. Dunia inapita katika kipindi cha kupunguza nguvu...
0 Reactions
43 Replies
3K Views
Back
Top Bottom