mtoto aliye zaliwa mahabusu aendelea kusota mahabusu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mtoto aliye zaliwa mahabusu aendelea kusota mahabusu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by figganigga, Jan 27, 2012.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,632
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Mtoto Azra, akiwa amepakatwa na Baba yake mzazi akiwa na Mama yake mzazi wakati walipokuwa nje ya Mahabusu ya Mahakama Kuu jijini Mbeya wakati walipofikishwa kwa ajili ya kusikiliza kesi yao inayowakabili kwa kukutwa na madawa ya kulevya.[​IMG]
  Mtoto Azra, akiwa amepumzika kwa usingizi akiwa amepakatwa na mzazi wake Mahakamani hapo.mia
   
 2. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Poor angel, may God bless you.
   
 3. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,576
  Likes Received: 12,860
  Trophy Points: 280
  Hivi sharia inasemaje
  kuhusu watoto wenye
  kesi za sampuli hii?!
  Au nae ni kielelezo cha kesi hyo?
   
Loading...