Pale Korogwe kwenda Mombo unawezaje kukimbia 80kph na msafara wa kiongozi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pale Korogwe kwenda Mombo unawezaje kukimbia 80kph na msafara wa kiongozi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sikiolakufa, Jan 27, 2012.

 1. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nimeshangaa sana eti msafara wa makamu unakimbia 80kph pale korogwe kwenda mombo...ile terrain is extremely dangerous hata ukiwa unaenda 60kph hivi hawa viongozi wetu hofu ya nini mpaka kukimbia kiasi hicho?
   
 2. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Hapo kwenye red, ni kwa ajili ya usalama mkuu!
   
 3. v

  valid statement JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  Kwani huwa wanajuaga barabara ni mbaya au ndogo basi?
  Wao ni kukimbiza tu, yani japo mi simfatiliaji wa sheria za barabarani,lakini nazijali.
   
 4. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,785
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  kayagila. sifahamu uzoefu wako ktk uendeshaji magari ktk barabara kuu lkn mwendo huo unaosema ni speed ndogo ktk ile barabara.unapunguza mwendo unapokuwa unapita maeneo ya vijiji,vivuko vya reli na kona kali.
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  labda wanakimbizwaga na simba teh teh teh
   
 6. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #6
  Jan 28, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Unaijua terrain ya pale Korogwe? au unaongea tu kujifurahisha?
   
 7. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #7
  Jan 28, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wapi umeona mwizi akisha pigiwa alarm MWIZIIII na akatembea kwa mapozi. Tambua mwenyewe.
   
 8. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #8
  Jan 28, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hii muna ujasiri wa ku-discuss, Uzembe wa Regia ilikuwa mapenzi ya Mungu?! Wanafiki!
   
 9. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #9
  Jan 28, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,785
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  mkuu naongea jambo ambalo nafahamu kwasababu natumia hiyo barabara sichini mara 2 kwa mwezi.
   
 10. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #10
  Jan 28, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  neno zuri kwa watu wa namna hii ni wapuuzi siyo wanafiki!!!!!!!wakipendacho watakipamba na wasichokipenda watakichafua!
   
Loading...