hatimaye serikali yaridhia kuwarudisha madaktari (interns)waliofukuzwa muhimbili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hatimaye serikali yaridhia kuwarudisha madaktari (interns)waliofukuzwa muhimbili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jackbauer, Jan 27, 2012.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hatimaye serikali imeridhia kuwarudisha madaktari wanaopata uzoefu kazini(medical interns) ambao walifukuzwa kutoka hospitali ya taifa muhimbili hivi karibuni.haya yamesemwa na ujumbe wa waziri mkuu uliofika kukutana na madaktari waliopo kwenye kikao cha muda mrefu.ujumbe huu unaongozwa na waziri wa afya,katibu mkuu na mganga mkuu kiongozi.

  my take
  kilichoshindikana wiki mbili zilizopita kimewezekana leo lakini kwa gharama za maisha ya watu.huu ni uzembe wa waziwazi kwa viongozi wa wizara husika.kwa vyovyote vile ni lazima wawajibike kama wanavyotaka madaktari.
   
 2. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  na wale wastaafu wataendelea kuwepo?
   
 3. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  wale wazee wanahofia kukosa pensheni lakini kiukweli wameshachoka kimwili na kiakili kwa hiyo badala ya kutibu watakuwa wanahatarisha maisha ya watu.huu ni mchezo wa propaganda tu.
   
 4. M

  Mavi2zi New Member

  #4
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yaani matatizo mpaka yatokee,ndio msuruhishe?inamaana nyie viongozi hamkujua mapema
   
 5. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Serikali ya CCM ni kiziwi mpaka ione ishara kulikua na haja gani ya kukwepana kati ya madaktari na watumishi wa wizara ya afya

  nafikiri ni wakati muafaka kwa waziri na naibu wake ku step down
   
 6. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Serikali ya TANZANIA inaendesha nchi kipumbavu sana.
   
 7. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2012
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Waliokufa wametolewa sadaka kwa ajili ya 2015!
  Tz tz nchi yenye mali nyingi watu wengi wa ulaya wana....endelea kuimba
   
 8. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  na madai mengine ya madaktari yatatatuliwa?
   
 9. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  walichokuwa wanaogopa ni kipi hasa,kwa nini walete majivuno huku wakijua wanaotibu watanzania ni madakatari na sio waziri ambaye kazi yake ni kupokea sifa tu.hawastahili kuendelea kuongoza kwani hiki ndio kilikuwa kipimo sahihi kwa uongozi wao.
   
 10. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  imeniuma sana kwa uzembe wa serikali kutowasikiza madaktari imegarimu
  maisha ya binti wa mfanyakazi mwenzetu na ndie alikuwa kipenzi chake
  amefariki leo asubuhi kwa kukosa matibabu
  mama wa watu kazirai hata alipoamka haongei na mtu.
   
 11. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #11
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  matakwa mengine yanapelekwa kwa PM.kwa mfano kumwajibisha blandina,nkya,mtasiwa na mponda ni lazima pinda na rais wahusishwe.
   
 12. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #12
  Jan 27, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hapo kwenye red naona Watanzania ndipo tunapaswa kugeukia. Ukweli ni kwamba kama hawa watu walishindwa kujua kuwa walipaswa kufanya hivyo mpaka maisha ya watu yapotee, na sasa kwa vile tumejua kuwa waliozembea sio madaktari bali ni wao basi wawajibike kwa yaliyokwisha tokea.

  Kiutendaji hatuwezi kuendelea kuwaamini maana walikuwa na muda wa kutosha kutueleza ukweli na hawakufanya hivyo. Hizo nafasi haziwezi kukosa wa kuzishika maana watanzania tupo karibia million 50
   
 13. M

  Mamatau Member

  #13
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wameshindwa kazi. Waliofariki kwa kukosa huduma katika kipindi hiki wamewalaani viongozi hao kabla ya kufariki.
   
 14. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #14
  Jan 27, 2012
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,978
  Likes Received: 20,359
  Trophy Points: 280
  JB, mkutano huu ume/nafanyika wapi?
   
 15. mchadema

  mchadema JF-Expert Member

  #15
  Jan 27, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  Hakuna hata dai moja lililojibiwa.
  Mbaya zaidi anayejiita mtoto wa mkulima a.k.a mzee wakulia asiyeweza kufanya maamuzi yeyote, yawe marahsi au magumu, ameingia mitini na kumtuma Hawa Ghasia na vilaza wanne( Haji, Nkya, Deo na Nyoni) ambao hawakupewa nafasi yakuzungumza kwa madai yakutokuwa na imani nao. Pia wao ni sehemu ya matatito, hvyo kamati haikuona ni vyema kuwasikiliza, zaidi ya kuwapa mapendekezo ya Wajumbe kuyapeleka kwa Waziri mkuu, huku moja ya mapendekezo hayo ni wao kuachia nyazfa zao kwa kuzorotesha shughuli za wizara.
  Mgomo Bado unaendelea, madaktari tutakutana pale Star line kesho kujadili zaidi
   
 16. Z

  Zestach Member

  #16
  Jan 27, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inaumiza kuona wagonjwa wanavyoathirika na huo mgomo,lakn sasa madaktar wafanye nn km hawaskilizwi kwa hoja zao za msingi?.Nadhani kwny mchakato wa katiba mpya tuangalie uwezekano wa kuwa na viongozi ambao si wana siasa kwenye sekita nyeti.
   
 17. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #17
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hii ni sehemu ya madai ya madaktari!!
   
 18. A

  August JF-Expert Member

  #18
  Jan 27, 2012
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  hivi ni shida saana kwa tanzania bldg agency au nhc kujenga nyumba au ma-flat karibu ya hospitali kwa ajili ya wataalamu wetu wa afya inluding manesi? kuongeza vitanda hospitalini na majengo pia , kuwepo kwa vifaa vya kutosha nk ili wanaonde apollo wapungue na tuwatumie na kuongeza ujuzi wa wanataaluma wetu.
   
 19. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #19
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Hilo litaondoa madai ya mazingira bora ya kazi kama nyumba, posho za mazingira hatarishi na madai ya nyumba?
   
 20. Invarbrass

  Invarbrass JF-Expert Member

  #20
  Jan 27, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 505
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  So mgomo unaendelea. Mbona title haiendani na mada?
   
Loading...