Habari za jioni!
Naomba msamaha iwapo nitakuwa mkosefu katika ufikishaji wa fikra zangu hapa, nimekuwa kimya kwa muda nikisoma mengi hapa na kufanya tafakuri kuangalia mashiko ya hoja katika...
Hakika siyo kwmb hili ni geni,"HAPANA" ni kumbukumbu inatoweka tu!
Swali:
Endapo Rais kasafiri,Makamu naye kakwaya pipa,vile vile Waziri Mkuu kaenda mamtoni naye.
Je? Nchi itakuwa ktk...
Marekebisho ya kwanza ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya Mwaka 2010 yanayotarajiwa kufanyika hivi karibuni; Yawafundishe Wabunge wa CCM kutokukurupuka kwenye Masuala ya Msingi ya Kitaifa.
Nimesoma kwenye magazeti ya leo karibu mengi yanaongelea jinsi Waziri mkuu Pinda alivopinda (kukwepa) kuongea na Madaktari angalau asikilize kilio chao kama alivowasikiliza wabunge na hatimae jana...
Ushauri wangu kwa maktari waliogoma wasidanganyike na ahadi waliyopewa na serikali kwamba waingie kazini wakati serikali inashughulikia madai yao. Kinachoshangaza wabunge walijiongezea posho kimya...
A doctor entered the hospital in hurry after being called in for an urgent surgery. He answered the call asap, changed his clothes and went directly to the surgery block. He found the boys father...
TANZANIA tuliingia kwenye demokrasia ya mfumo wa vyama vingi vya siasa mwaka 1992 baada ya kupitishwa sheria Na. 4 ya mwaka 1992 ambayo pia ilifuta ibara ya 10 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa...
This week: What happens when a doctor makes a mistake ... extreme motivation for an extreme swim ... and: what makes you you?
Every doctor makes mistakes -- but it's incredibly hard to talk...
Katika mkutano wa wataalamu wa sayansi wa kuzindua INTERNATIONAL YEAR OF PLANET EARTH (IYPE) uliofanyika hotel ya Ngurudoto hotel kuanzia tarehe 8-9 may 2008 Arusha na kushirikisha wanasayansi...
NIMEONA KWENYE TV WAMEQWAPOPOA MAWE NGUMI BAKORA VIONGOZI
WA SIRIKALI YAO
KISA ETI NI SIKU YA KUSHEREHEKEA UHURU WAO AF WAO WANADAI HAWAJAONA UMUHIM WA KUSHERWHEKEA WAKATI
MAHITAJI YAO MUHIM...
kwa kweli tunakoelekea kunatisha, likiisha hili linaibuliwa hili:
Serikali ya mapinduzi Zanzibar imesema hakuna uwiano wa kutosha katika nafasi za kazi za utendaji kwenye afisi za kibalozi nje ya...
Kwa chanzo cha kuaminika kabisa bi mkubwa huyu Tangia ameukwaa uspika ameweza kujiwekea hazina yake ya uzeeni kwa kununua yutong nane kwa mkupuo na kuingiza kwenye kampuni ya Super....... ambayo...
Maoni ya katuni
Kaya 289 za waathirika wa mafuriko yaliyotokea jijini Dar es Salaam Disemba mwaka jana waliokuwa wamehifadhiwa kwenye makambi ya Mbweni JKT na baadhi...
Maoni ya katuni
Kwa kipindi kirefu sasa taifa hili limekuwa linaruhusu kuimarika kwa utamaduni wa kutokuwajibika. Hali hii kwa bahati mbaya inaelekea kuchangiwa zaidi na hali ya kuamini...
Wilaya ya pangani ina mkuu wa wilaya ambaye ubin wake unafanana na wilaya yenyewe "zipora pangani"napia inaonekana hajahamishwa kwa muda mrefu sasa tokea ateuliwe kushika wilaya hiyo
Katika kuonekana kuchoka kuonewa na kudhulumiwa madai yao waalimu wa wilaya ya ileje wameamua kesho watakuwa na maandamano mpaka kwa mkuu wa wilaya mama E Wakari kutaka kujua hatima ya madai yao...
Waziri wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli
Waziri wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli pamoja na Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Hawa Ghasia, wamefanya ziara...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, amesema mpango wa Tanzania kuuomba Umoja wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.