Nani anajua hili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani anajua hili?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by manuu, Jan 27, 2012.

 1. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,063
  Likes Received: 9,673
  Trophy Points: 280
  Naomba kufahamishwa hivi,kama nataka kumzuia kiongozi yeyote yule alie nje ya nchi kutokurudi nchini kwa yale mambo mabaya alietufanyia sisi wananchi wake.
  Ni hatua gani naweza kuzichukua ili ashindwe kurudi nchini na badala yake aombe hifadhi kwenye nchi zingine?


  Ni hayo tu nitashukuru kwa ufafanuzi wenu.
   
 2. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Muweke kwenye target kisha mpe shaba. Angalia avatar yangu kwa mfano.
   
 3. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,034
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Nenda kaloge matairi ya ndege yasifunguke itashindwa kutua na itarudi zake ulaya
   
Loading...