Kwanini rais anashindwa kuchukua hatua kali kwa mawaziri wake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini rais anashindwa kuchukua hatua kali kwa mawaziri wake?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BAGENI, Jan 27, 2012.

 1. B

  BAGENI Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unaweza kupata maswali mengi kuhusu msimamo wa kiongozi wako juu ya maswali mbalimbali ya kiutendaji wa viongozi waliochini yake.jambo la kujiuliza kabla hujafikia hatua yoyote ni kujua sababu za kiongozi huyo kutochukua hatua za kuwawajibisha hata wale ambao wanaonekana kuwa na makosa ya wazi kabisa.

  Mimi ninakosa jibu kuhusu maswali hayo. Naomba yeyote anaweza kujua sababu inayosababisha kuvumiliana huko kunako pinga hata msimamo wa katiba anisaidie.
   
 2. d

  davidie JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  swali gumu but jibu lake simple. kwa kuwa na yeye huwa hajiamini kutokana na historia yake kuwa sio msafi kivile anashindwa kuwanyooshea kidole wenzake ambao nao wanayajua mapungufu yake na hii ni matokeo ya serikali ya kishikaji
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Simply coz amewateua kwa misingi ya kidini, kiurafiki, kindugu,
   
 4. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2012
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Wengi ni wanamtandao. Anaona aibu kuwawajibisha watu waliombeba na kumwingiza hapo alipo. Ni ushikaji tu ndio unaharibu mambo. Lingine wengi wanajua siri zake za ndani anahofu akiwawajibisha watamvua nguo. Kuko wapi kumvua gamba Lowassa? Lowassa aliposimama kwenye vikao vya CCM na kumwambia kuwa JK anajua what happened with Dowans, ulisikia JK akitia neno?

  Si msafi kihivyo kiasi cha kuwawajibisha wenzake!!!!!

  Tiba
   
 5. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  uongozi wa kishkaji ni upumbavu
   
 6. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,131
  Likes Received: 3,320
  Trophy Points: 280
  Kwasababu ni Mwoga.
   
 7. M

  Makunga JF-Expert Member

  #7
  Jan 28, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 772
  Likes Received: 497
  Trophy Points: 80
  yeye mwenyewe mchafu so anaogopa kutibua mambo.
   
 8. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #8
  Jan 28, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Jiulize!! Baba akiwa mlevi/mzinifu atawezje kuwakataza watoto zake waache hivyo. Talking about this tears are rolling on my chics. TUTAFIKA TU.
  YOU CAN FOOL SOME PEOPLE FOR SOME TIME BUT YOU CANT FOOL ALL THE PEOPLE ALL THE TIME
   
Loading...