Ujumbe wa hao hatu sasa wako Starlight kuwasikiliza madaktari kero zao!!
****
-Wao si waliombwa wawatatulie hizo kero mwanzoni wakawakwepa?
-Katika maazimio ya Madaktari, mojawapo ni wao waachie...
tunalipia jengo kwa mwezi shs mil3,sasa mzee wa kanisa ametangaza tutowe sadaka kubwa ili waweze kulipia jengo kila mwezi,tuna kiwanja lakini ujenzi bado,je kwenda kusali kwenye uwanja wetu na...
Pengine gazeti la leo limetoa tu karobo kamchezo kanaonyika pale airport
ni kweli nimesoma nipashe kuna michezo michafu ambayo inahusishwa na wkubwa wa uhamiaji ambao huleta vibali feki na watu...
Jana majira ya saa 3 Asubuhi wananchi wa Kata ya Goba, Makuburi na Ubungo ambao ni wapiga kura wa MNYIKA walivamia Manispaa ya Kinondoni wakitaka kuonana na Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Ndg. F...
Nilijua Wachina tu ndio wanawachakachua dada zetu wa Kitanzania kumbe haya mambo hata Ulaya yapo.
Ex-head of French breast implant maker arrested - Yahoo!
Wanajamii. Natoka kilosa mjini kwenda Dumila. Tumefika katikati eneo la Msowero. Magari yamezuiwa na wakulima kupita tangu asubuhi. FFU wapo tayari eneo la tukio. Anasuburiwa Mkuu wa wilaya atoe...
Ndugu zangu,
Niliondoka Singida Mjini saa kumi na moja alfajiri kuelekea Dodoma. Kilomita 40 kutoka Manyoni nilikutana na hali hiyo pichani kunako saa kumi na mbili na nusu. Eneo la tukio...
Wadau pamoja na kuwa kunasehemu za kwenda kupata taarifa na gharama za kutembelea Mikumi national park lakini naomba kupitia jukwaa hili mwenye experience ya huko naomba animegee data kidogo...
TUMEAMUA KUWA WAJINGA?
UJINGA UNA FAIDA, UJINGA RAHA, UJINGA NI MAISHA MAREFU, TAZAMA NDOA ZINADUMU KWA SABABU MMOJA KAKUBALI KUWA MJINGA, TANZANIA INA AMANI KWA SABABU YA UJINGA WA...
source ni BBC ! watu waanza kupoteza maisha
mwananchi mmoja anayeitwa bi sikuzani mponda mkazi wa kibaha asikika radioni akiongea kwa uchungu.ahoji "kama serikali inaweza kuwasikiliza wabunge...
hivi ndugu yangu mtanzania!unajisikiaje unapoona na kusikia watanzania wenzako wa hali ya chini wakiendelea kufa hospitalini bila hatia,huku serikali ikizidi kuonesha ubabe kwa madaktari,kitendo...
ningependa nijuwe kama wapo,na ningefurahi sana kama ungejibu swali langu,je mnajisikiaje kuendesha TBC ambayo ni mali ya watanzania wote bila kujali itikadi za kisiasa au dini kwa upendeleo???Je...
Inasikitisha sana pale napopita kila kona ya mtaa na kukuta vijana hutumia lugha ya matus kuwasiliana! Kwa jamii ya leo maneno kama mse**e na ku** ma** na kawaida sana sasa je nayenyewe...
We talk a lot about Mwl.Julius K.Nyerere and Abeid Aman Karume, but it's time to be like them, as strong as them. They were mortal men like us and every one of us can be like them.
Tunapenda kuwapa taarifa wadau wote na wapenzi wa Tone Radio Tz.. Baada ya kukamilisha Tovuti yetu sasa Tumeanza matangazo Rasmi ya majaribio ambayo yatakuwa yanawajia kila siku mpaka hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.