Chuo cha uongozi kivukoni kipo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chuo cha uongozi kivukoni kipo?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MAN OF CHANGES, Jan 28, 2012.

 1. MAN OF CHANGES

  MAN OF CHANGES JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2012
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 508
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wakati wa utawala wa Hayati baba wa taifa, alianzicha chuo cha uongozi Kivukoni baada ya kuona kuna tatizo la viongozi waadilifu na wazalendo.Hatua hiyo ilisaidia sana wakati wa uongozi wake ila baada ya kuanzishwa mfumo wa vyama vingi chuo hicho kilikosa nguvu na sidhani kama bado kipo mpaka sasa, na kama kipo bado kina lengo lilelile la mwanzo la kuandaa viongozi? na kama wanaandaliwa ni vyama vyote vinapeleka watu wao? JK naye alipitia hichi chuo kweli?
   
Loading...