Breaking News: Msafara wa makamu wa raisi wapata ajali

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
Ni taarifa niliyoipata inamalizikia kwenye ITV breaking news maeneo ilikotokea ajali ni kati ya milima ya usambara na Korogwe tafadhali watakao kuwa kwenye eneo la tukio mtujuze!!!!.
 
du mi nilijua akienda mikoani anapaa angani au mkuu wa kaya ndo mwenye upendeleo huo?poleni majeruhi na tuwaombee mtakapoenda kutibiwa msikutane na deadline yetu ya kutohudumia hata emergency.marehemu RIP,Mungu awatie nguvu ndugu zenu katika kipindi hiki kigumu
 
Itakuwa maeneo ya msimba yale! alikuwa anatafuta nn huko au nae katafutiwa kiwanja na Makamba kama Mkapa?
 
Yuko kwenye ziara ya kuweka mawe ya msingi na kufungua majengo ya serikali maana hana kazi nyingine ya kufanya
 
Ni taarifa niliyoipata inamalizikia kwenye ITV breaking news maeneo ilikotokea ajali ni kati ya milima ya usambara na Korogwe tafadhali watakao kuwa kwenye eneo la tukio mtujuze!!!!.

ahsante mkuu kwa taarifa, lkn hii ilisha postiwa humu muda mrefu
 
Bora tumepunguza mafisadi.

Kuwashtaki hatuwezi,kuwakataza na kuwatokomeza hatuwezi bora wafe hivyo hivyo.

Bwana ametoa na bwana katwaa jina la bwana lihimidiwe.
 
Bora tumepunguza mafisadi.

Kuwashtaki hatuwezi,kuwakataza na kuwatokomeza hatuwezi bora wafe hivyo hivyo.

Bwana ametoa na bwana katwaa jina la bwana lihimidiwe.

Hivi ukikuta aliyekufa ni diwani wa kata inayoongoozwa na CHADEMA ambaye ki-itifaki ingebidi awepo kwenye kata yake inayotembelewa Maneno yangekutoka hivyo? Kweli JF the home of great TINKERS
 
Back
Top Bottom