askari wa jiji{mza}wavunja na kufanya uporaji usiku wa leo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

askari wa jiji{mza}wavunja na kufanya uporaji usiku wa leo.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by commonmwananchi, Jan 28, 2012.

 1. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,152
  Likes Received: 477
  Trophy Points: 180
  watu wanaosadikika kuwa askari wa jiji la mwanza,wameendesha zoezi la kuvunja mabanda na meza za wafanya biashara ndogondogo katika maeneo mbalimbali hususani maeneo ya nyakato buzuruga na mabatini.
  Zoezi hilo limefanyika usiku wa kuamkia leo,majira ya alfajiri na kuna malalamiko kutoka kwa wahanga wa sakata hilo kuwa mali zao nyingi hazionekani ikiwemo vitanda na bidhaa mbalimbali za kibiashara.
   
 2. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,804
  Likes Received: 1,118
  Trophy Points: 280
  Ngoja nifanye utafiti kama ni kweli.
   
 3. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  kwa lengo gani na ni nani kawatuma???
   
Loading...