Msaada kuhusu Mikumi National Park | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kuhusu Mikumi National Park

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kingxvi, Jan 28, 2012.

 1. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jamani naombeni msaada mimi na wanafunzi wenzangu kama 40 tumepanga mwezi ujao kwenda kutembelea mikumi national park.tulikuwa tunataka kujua kuhusu gharama halisi kama zakuingia getini pamoja na gharama za hostel kwa sababu nimeangalia kama wana website ili niwapgie hawana wanatumia ya tanapa na tanapa nao nimewa email hawajajibu au kama mtu ana contact zao anitumie
   
 2. nsangaman

  nsangaman JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Piga namba hii 0783222685/0767222685
   
 3. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  thanx mkuu ngoja niwacheki
   
 4. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hao tanapa hata mie nimewahi wa email nilitaka kuona utaratibu/uwezekano wa kupata cd's za wanyama na za mbuga zetu tulizonazo hawakujibu mpaka leo!
   
 5. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  unaweza ukawa miongoni mwa wengine 1,000,000 (1 in a million) wanaotuma inquiry zao bila kujibiwa alafu tunasema pato la taifa kupitia utalii ni dogo.

  Mpaka akiongea mwanasiasa hapo ndio utasikia mambo ya 'michakato', 'utendaji', 'utekelezaji' nk
   
Loading...