Je hili lina ukweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je hili lina ukweli?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Enny, Jan 28, 2012.

 1. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Kuna mama mmoja alikuwa mwalimu wa sekondari kwa muda wa miaka 30, baadae akapata green kadi kwenda marekani. Sasa amerudi eti adai amefuata mafao yake ya ualimu ambayo ni kama milioni 100.

  Hivi ni kweli waalimu wakistaafu hulipwa hela kama hizo?
   
Loading...