kwa nini msafara wa chadema kwenda Ikulu haukuwa na mwakilishi mwanamke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa nini msafara wa chadema kwenda Ikulu haukuwa na mwakilishi mwanamke

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MAMA POROJO, Jan 27, 2012.

 1. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Kwa sisi akina mama porojo, tuli-mind sana siku tulipoona hakuna mwanamke hata mmoja katika safari ya chadema kwenda kuonana na Rais kikwete Ikulu. Dunia inapita katika kipindi cha kupunguza nguvu ya mfumo dume na kuwapa fursa akina mama. sitaki kuamini kwamba chadema walishindwa kumchomeka japo mama mmoja tu (mwenye weredi kichwani) kuongozana na akina baba wale. Hakina niliumia sana.

  Upande wa CCM katika mazungumzo hayo japo kwa picha za Ikulu katika vyombo vya habari niliwaona Celini Kombani, Tatu Nuru na Prem Kibanga.
   
 2. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  mods acha ufuasi wa chama tupeni uhuru
   
 3. Raia Mwema

  Raia Mwema JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni jambo jema kujua
   
 4. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
 5. Raia Mwema

  Raia Mwema JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2012
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thread inaweza kuondolewa kwani inawaguza mods wanaoshabikia vyama. Nawapenda mods wa mlengo wa kati
   
 6. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Angeenda mwanamke ingepunguza nini kwenye porojo zako?
  Swali la msingi though.
   
 7. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,339
  Trophy Points: 280

  Kwa nini usipeleke hizi porojo sokoni?
   
 8. Raia Mwema

  Raia Mwema JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2012
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Regia Mtema wakati ule alikuwa hai wangemtumia
   
 9. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  chadema haiwathamini wanawake wakati wanawake wanazaa wapiga kura wao.
   
 10. Raia Mwema

  Raia Mwema JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2012
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sio porojo angalia picha ni kweli
   
 11. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #11
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  View attachment 46194

  Nashangaa hata juice walijihudumia wenyewe.
   
 12. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #12
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  huu nao ni ufisadi,kwanini hakuna uwakilishi sawa wa kijinsia.
   
 13. Raia Mwema

  Raia Mwema JF-Expert Member

  #13
  Jan 27, 2012
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mama porojo hilo nalo neno ni haki yako kama mama kuhoji
   
 14. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #14
  Jan 27, 2012
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya Regia.
   
 15. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #15
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
 16. I

  Igwachnya Member

  #16
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 80
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Binafsi sioni tatizo kwenye hilo...... Kwangu hakuna ubaguzi mkubwa kama kuwaza umwanaume na umwanamke. Unapowaza kwamba CHADEMA walienda Ikulu kuonana na raisi unakuwa Objective. Ukishawaza wanaume wa chadema walienda ikulu kuonana na raisi ni dalili za kuanza kuwa subjective. na huo ndo ubaguzi
   
 17. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #17
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  tehe tehe tehe tehe,kaaaaazi kweli kweli...........
   
 18. K

  KWETU PAZURI Senior Member

  #18
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwani lazima kuwepo mwanamke? Hii nchi imedorora kutokana na wanawake wengi kupewa madaraka,.an average man is 100 times better than an average woman
   
 19. No admission

  No admission JF-Expert Member

  #19
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata kidogo siporojo lakini maslahi ya nnchi yawekwe mbali zaidi ya jinsia japo haijalishi kuwa nani alikwenda nani hakwenda next time mchukueni hata Halima Mdee
   
 20. Raia Mwema

  Raia Mwema JF-Expert Member

  #20
  Jan 27, 2012
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mmmmh hakika hii sijaipenda Regia Mtema alipigania sana mazungumzo hayo hadi yakafanikiwa. Rejea gazeti la mwanahalisi juzi jumatano
   
Loading...