Si madaktari pekee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Si madaktari pekee

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shansila, Jan 28, 2012.

 1. S

  Shansila Senior Member

  #1
  Jan 28, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna ubishi kuwa madai ya madaktari ni ya msingi na yanayohitaji mrejeo wa haraka toka serikalini ili kunusuru maisha ya wagonjwa masikini.Ingawa haiwezekani wakagoma wote kwa sababu ya tofauti za kimaslahi,lakini hii iwe kengele ya kuiamsha serikali toka usingizini kuwa maslahi ya watumishi wa sekta za umma na binafsi yanapaswa kuboreshwa ili kuendana na mfumuko wa bei na kupanda kwa gharama za maisha.Aidha mfumuko wa bei unatakiwa kudhibitiwa kwa nguvu.Kupuuza hili ni kualika migomo zaidi kuanzia kwa watumishi wa umma,sekta binafsi na hata wananchi kwa ujumla na yaweza kuwa vuguvugu la mabadiliko ya kisiasa.Kisingizio cha kudai serikali haina fedha hakina mashiko,kwani tunaona jinsi fedha zinavyotumika vibaya!Amka Tza.
   
Loading...