Mtumishi wa bunge aliyeuawa alighushi cheti! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtumishi wa bunge aliyeuawa alighushi cheti!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mpigaji, Jan 27, 2012.

 1. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Imebainika kwamba mtumishi wa bunge aliyeuawa hivi karibuni,marehemu Nicodemus L. Senge alitumia cheti cha Inspekta Nicodemus Lucas Senge kujipatia ajira!
  Nanukuu"Mbali na mgogoro wa kiwanja ilielezwa kwamba sababu nyingine iliyohusishwa na tukio hilo ni cheti alichopatia kazi bwana Nicodemus L. Senge ambapo ilielezwa kwamba mtumishi huyo wa Bunge alipata kazi kupitia cheti cha afande Senge ambaye ni kaka yake na wakati wa mgogoro Afande Nico aligusia suala hilo ili kumnyamazisha Nico wa Bunge katika hoja zake"Mwisho wa Kunukuu!
  Source:Kiu ya Jibu Januari 27-29,2012.
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  Wako wengi tukiwajadili hata jinalako jf lawezekana la babu yako mpwa
  ameshaenda kwa mola mwachen bana
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  cheti cha kingunge kinaonyesha kazaliwa 1981
   
 4. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,145
  Likes Received: 1,238
  Trophy Points: 280
  Nami pia nilishamsikia Mwendesha Mashitaka mmoja Pale Kisutu anatumia jina langu, nime m-spare, ila kuna siku nitamtafuta tuwe tunagawana mshahara kila mwezi.
   
 5. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Du!Hii nchi hatari sana.
   
 6. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  ,,,,take care!Isije siku moja kuonekana yeye original wewe fake!
   
 7. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Anatumia jina lako au cheti chako?
   
 8. Luzilo

  Luzilo Member

  #8
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama kweli vitambulisho vya Taifa la Tz vitakuja,tutapata majina kibao ya kufanana!!!! Hii ndy Bongo bana full kuchakachua!!
   
 9. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  he he he ngoja nitadute cheti cha mzee wa kaya
   
 10. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #10
  Jan 28, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  mpigaji. kama wewe ni raia,unakosea unapomwita huyo Senge 'afande'. maana hata kama ungekuwa polisi kama Senge ili umwite afande ni mpaka awe na cheo juu yako.tuache haya maneno yatumike maeneo husika ambayo ni ktk majeshi yetu.
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Jan 28, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,410
  Trophy Points: 280
  aisee. umenichekesha kinoma.ndiomaana jamaa bado anaenda dodoma kila siku. amesahau mwili hautaki tena
   
 12. Life.co.tz

  Life.co.tz JF-Expert Member

  #12
  Jan 28, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 80
  Mie mwenyewe nasikia kuna Mtu anatinga Mgodini kwa jina langu yan full name
   
Loading...