Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Au mie ndo sielewi jamani! Hivi ukisema mapacha watatu, unamaanisha kuna watu wangapi? Nahisi kwenye tangazo lao, maneno na picha vimeachana.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nashindwa kuelewa kama kweli haya mabomu yanalipuka yenyewe or there is a conspiracy behind? Hivi macomrade inawaingia akilini kweli kwamba haya mabomu yanalipuka yenyewe tuu? Then where next, is...
0 Reactions
101 Replies
11K Views
Rais Barack Obama Mwandishi Wetu MAREKANI imeungana na Uingereza kushinikiza kutambuliwa kwa haki za mashoga, ikitumia rungu la misaada yake inayotoa kwa nchi mbalimbali duniani, huku ikitenga...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wadau jumatatu naenda kufanya interview hv yniliver wanalipa bei gani kwenye post ya adminstrative officer
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MWONGOZO STRIKE EXTENSION : ADDITIONAL 48 HOURS WEEK FULL STRIKE BAADA YA SERIKALI KUTOONYESHA NIA YA KUTATUA MADAI YA MADAKTARI NA BAADA YA MASHAURIANO NA MAPENDEKEZO YA MADAKTARI WA MIKOA...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Taarifa iliyopatikana ni kwamba,wafanyabiashara wa Nyumba za kulala wageni katika Manispaa ya Morogoro wamefanikiwa kupata Amri ya muda ya mahakama inayowasimamisha BAMM Solutions na Mkurugenzi wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ninapata mashaka na uwezo wa kufikiri wa mama huyu na kumwona kua ni msahaulifu. Mara ya kwanza alipotelea ufafanuzi suala la kupandishwa kwa posho za wabunge alidai kua gharama za maisha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mgomo wao unadai kiongozi wao aondolewe madaraka kutokana uongozi mbovu pia hatoi risiti ili kujulikana idadi ya ng'ombe waliochinjwa Source Magic Fm
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WATAWALA WA TANZANIA NADHARAU ZAO KWAWANANCHI.WANAOWAONGOZA!? ........(NUKUU YA LEO!!)....... Anna Makinda - Tumeongeza posho kwa wabunge kwasababu maisha ya Dodoma yamekua...
0 Reactions
0 Replies
990 Views
Wakuu nimeaona vema kuleta hoja hapa jukwaani kuilalamikia kampuni ya simu za mkononi kwamba inaumiza sana wateja wake kwa bei za hudama zake. Bei yao ya kupiga simu kwa sasa ndo inayoongoza...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Rais JAKAYA MRISHO KIKWETE amekutana na viongozi wa Baraza la Taifa la NGOs Ikulu jijini Dar es salaam leo kuzungumzia mchakato wa Katiba source:JF
0 Reactions
6 Replies
1K Views
mgomo wa madktari serekali inatakiwa iwasikilize madaktari ili kuoka maisha ya wagonjwa
0 Reactions
2 Replies
876 Views
Amefariki dunia leo...mungu amuweke mahali alipomwandalia.amen
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Katibu wa Organizesheni wa Chama cha Mapinduzi (CCM) yupo India kutibiwa mguu. Akiwa amekula pozi na wauguzi wa hospitali ya Miot nchini India.
1 Reactions
27 Replies
3K Views
ndugu wana bodi moto mkubwa umetokea kiwanda cha magodoro comfy chang'ombe. Updates to come!
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Mwezi wa january katibu mtendaji Nacte alitangaza vyuo vilivyopata usajili wa muda na vile vilivyopewa usajili wa kudumu napenda kufahamu kwa wanaojua mambo ya usajili je chuo cha ARUSHA...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
serikali ya kipuuzi, huja na hoja zakipuuzi, hutatua matatizo yake kwa njia zakipuuzi na pia upuuzi ndio huchukua sehemu kubwa ya utendaji wakipuuzi kwenye serikali hiyo yakipuuzi zaidi kuliko...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kutokana na ukweli ya kwamba wanasiasa wengi ni waongo ili kuendeleza uongo wao kwa wananchi,wamekuja na kauli mbiu mpya ambapo pale mwanasiasa anapokosa jibu la moja kwa moja, huwa wanajibu kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Medical director na Director of clinical services Bugando Medical centre wapata promotions kuwa associate Professors...... Hizi promotions kwenye vyuo vyetu zinafuata vigezo au ndo ukiwa mtawala...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana Jamii Nionavyo mimi, hali ya NCHI ni TETE kuliko tulivyozoea. Baadhi ya viashiria ni hivi hapa: 1. Hazina ni kweupe. Mhe. Waziri Mkuchika alibainisha hili, japo Serikali imekuwa ikipinga...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom