Tigo Inaua Kimya Kimya

Kamende

JF-Expert Member
Mar 1, 2008
416
0
Wakuu nimeaona vema kuleta hoja hapa jukwaani kuilalamikia kampuni ya simu za mkononi kwamba inaumiza sana wateja wake kwa bei za hudama zake.

Bei yao ya kupiga simu kwa sasa ndo inayoongoza nchini,
Ukimhamishia mtu salio wanakukata bila huruma.
Ukipiga simu na kumkosa unayempigia halafu ukajichanganya kwa kufuata maelezo yao ya kuacha ujumbe wa mdomo umekwisha.
Ukisubscribe kwenye huduma yoyote ya ujumbe mfupi, iwe nyimbo za wanaokupigia ama kuuliza habari mahsusi utakoma.
Ukiingia kwenye michezo yao hata utakapotaka kuunsubscribe hawakutoi mara moja bali wataendelea kukupa huduma kwa gharama zako

Kwa kuzingatia kuwa mtandao huu ndo uliokuwa kimbilio la walalahoi na hasa wanafunzi nimeona nilete lalamiko langu hili hapa jukwaani ili wapewe kwanza ushauri kabla sijafikiria kuanzisha mgogoro nao.

Naomba kuwasilisha.
 
+255

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
1,942
1,500
Af piga simu kuanzia mida ya saa 12 jioni - 4usk, usikilizie cost zao uone?!
 
AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
0
Wakuu nimeaona vema kuleta hoja hapa jukwaani kuilalamikia kampuni ya simu za mkononi kwamba inaumiza sana wateja wake kwa bei za hudama zake.

Bei yao ya kupiga simu kwa sasa ndo inayoongoza nchini,
Ukimhamishia mtu salio wanakukata bila huruma.
Ukipiga simu na kumkosa unayempigia halafu ukajichanganya kwa kufuata maelezo yao ya kuacha ujumbe wa mdomo umekwisha.
Ukisubscribe kwenye huduma yoyote ya ujumbe mfupi, iwe nyimbo za wanaokupigia ama kuuliza habari mahsusi utakoma.
Ukiingia kwenye michezo yao hata utakapotaka kuunsubscribe hawakutoi mara moja bali wataendelea kukupa huduma kwa gharama zako

Kwa kuzingatia kuwa mtandao huu ndo uliokuwa kimbilio la walalahoi na hasa wanafunzi nimeona nilete lalamiko langu hili hapa jukwaani ili wapewe kwanza ushauri kabla sijafikiria kuanzisha mgogoro nao.

Naomba kuwasilisha.
BADO UKO TIGO??MIMI,NDUGU ZANGU NA MARAFIKI ZANGU WOTE TUNAOWASILIANA MARA KWA MARA TULISHATOKA HUKO SIKU NYINGI NI ZAIDI YA WAUAJI SITAKI HATA KUONA MATANGAZO YAO NAFIKIRI VODA WANANAFUU SANA SIKU HIZI HALAFU AIRTEL,SIFAHAMU KUHUSU ZANTEL ILA TIGO HAPANA HAIFAI KABISa
 
BJBM

JF-Expert Member
Nov 25, 2011
586
250
Wakuu nimeaona vema kuleta hoja hapa jukwaani kuilalamikia kampuni ya simu za mkononi kwamba inaumiza sana wateja wake kwa bei za hudama zake.

Bei yao ya kupiga simu kwa sasa ndo inayoongoza nchini,
Ukimhamishia mtu salio wanakukata bila huruma.
Ukipiga simu na kumkosa unayempigia halafu ukajichanganya kwa kufuata maelezo yao ya kuacha ujumbe wa mdomo umekwisha.
Ukisubscribe kwenye huduma yoyote ya ujumbe mfupi, iwe nyimbo za wanaokupigia ama kuuliza habari mahsusi utakoma.
Ukiingia kwenye michezo yao hata utakapotaka kuunsubscribe hawakutoi mara moja bali wataendelea kukupa huduma kwa gharama zako

Kwa kuzingatia kuwa mtandao huu ndo uliokuwa kimbilio la walalahoi na hasa wanafunzi nimeona nilete lalamiko langu hili hapa jukwaani ili wapewe kwanza ushauri kabla sijafikiria kuanzisha mgogoro nao.

Naomba kuwasilisha.
almost kila mtu anailalamikia ndio mana wanatukanwa kwnye wall yao ya fcbk lkn hawajirekebshi.
 
DSN

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
2,837
1,250
Naona kuna sabubu ya kuanza kampeni ya kupromote the affordable Mobile phone network provider kati ya VODA na AIR TELL ukweli mimi binafsi namilki number ya tigo toka nikiwa chuo,lakini sasa wameniboa mpaka kichefuchefu.Yani wamekuwa wezi wa mchana kweupe baada ya kuona wamekuwa na Royal customer sasa imekuwa shida nikiridhika na kati ya VODA au AIRTEL naanza promo la kufa mtu.

Shame on them.Na kwa kuwa tumeshawastukia naomba tuanze kampeni otherwise wajirekebishe tena kama kuna mafyongo yao kama ya kukwepa kodi yaletwe humu,siunajua watanzania uwa tukimpenda mtu tunasahau hata vimbwanga vyake.Ukweli Tigo they had the big market share kwenye ulimwengu wa simu za mikono Tanzania.Sasa wamekinai wanatuchezea wanavyotaka.Ukiweka Elfu tano ukija kustuka na simu zako tano ulizopiga kwa kuongea kama dakika moja kila moja imekula kwako.
 
Consigliere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
11,053
2,000
.......Labda Voda , Airtel nao hawakamatiki, unaweka shilingi 100,000/. Baada ya siku 4 tayari unakuta 50,000, imekatika, ukiangalia matumizi jumla ya simu ulizopiga ni nne tu na dakika hazifiki 60, ukiwatafuta customer care na kuwapata ushukuru, na ukiwalezea utazungushwa mpaka uone kero na kwenda ofisini kwao ni ngumu kwani wengine tupo vijijini kabisa.....Airtel na Tigo ni wale wale kasoro majina tu.
Nashindwa kuelewa hizi kampuni kama zinasimamiwa na mamlaka yoyote.
 
Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
13,813
2,000
Tigo waNGese kweli, reception ya mawasiliano mbovu kweli, huduma mbovuuuu.... waliwakata wateja kibaooo sasa tumeondoka wengiiiiii, all my family & most friends washahama ni ghali na hakuna mawasiliano, piga kata pigaaa kataaa pigaa kataaa no network at all huku wanakata hela hovyo hovyo eg eti kumpunguzia mtu salio wanakukata, ukituma zaidi wanakata zaidi, pumbaf
 
GIUSEPPE

JF-Expert Member
Dec 31, 2011
5,281
2,000
Ohooooo! afadhali!!!! kumbe mnamaanisha Tigo, Tigo. Kwakweli kichwa cha somo kilinishitua sana, alafu na wewe ukiandika kitu hiki sikunyingine sema mtandao wa Tigo, sio unaandika tigo. Afadha sasa prresha imeniisha, inayoua sio ile tigo nyingine.
 
Unyanga

JF-Expert Member
Feb 6, 2011
402
225
bora hiyo, kuna kipindi wanakukata hela nying ukiwa hujatumia huduma yoyote yani ghafla 2 unakuta salio limekatwa. Wanakera.
 
Job K

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
9,285
2,000
Makampuni yote ni wale wale tu. Sijui hawa wachovu wetu (TTCL) kwa nini hawatanui mtandao wao? Yaani mimi sina hamu, natamani kuachana na simu lakini nashindwa! TCRA wenyewe wako kimya tu!
 
Mrimi

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
1,697
1,250
Mimi leo sitaki kuzungumzia hili jambo, maana kama wewe ni mdau wa jf tangu siku nyingi, lazima utakuwa unafanya makusudi.
Yaliyokukuta ni halali yako. Huna haja ya kulalamika hapa. Hili jambo tulishalimaliza humu humu jf. Pole sana boss.
 
Bangoo

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
5,600
1,195
Ni kutokana na kuwa na serikali legelege ya chichiem
inashindwa kusimamia bei.

Na bado, kila idara mnakabwa na c tigo 2 ni mitandao yote!
 
Ennie

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
7,140
2,000
Makampuni yote ni wale wale tu. Sijui hawa wachovu wetu
(TTCL) kwa nini hawatanui mtandao wao? Yaani mimi sina hamu, natamani
kuachana na simu lakini nashindwa! TCRA wenyewe wako kimya tu!
TCRA kama EWURA tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom