mgomo wa madktari mpka lini

Unategemea serikali gani itakayowasikiliza madakatari wakati imedai bungeni kwamba hali nzuri na hakuna mgomo?
 
nchi hii hakuna haki mpaka uandamane au ugome au utoe rushwa.kikifanyika kimojawapo watamaliza mgomo
 
Back
Top Bottom