Rais JAKAYA MRISHO KIKWETE amekutana na viongozi wa Baraza la Taifa la NGOs Ikulu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais JAKAYA MRISHO KIKWETE amekutana na viongozi wa Baraza la Taifa la NGOs Ikulu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Saint Ivuga, Feb 3, 2012.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,520
  Likes Received: 19,943
  Trophy Points: 280
  Rais JAKAYA MRISHO KIKWETE amekutana na viongozi wa Baraza la Taifa la NGOs Ikulu jijini Dar es salaam leo kuzungumzia mchakato wa Katiba
  source:JF
   
 2. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Kweli CHADEMA ni mkombozi. Sasa wote wanaigilizia ya chadema. Slaa aligundua udanganyifu katika sheria ikarudushwa bungeni. jana Tundu Lisu alimshtua Naibu spika kwa maadili ya kanuni za kudumu za bunge. Bila CHADEMA kweli ......
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Mbona naona kama rais ameamua kukusanya maoni peke yake? Haundi kamati tena?
   
 4. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Kwani hujui yeye ndio kamati? subirini na nyinyi walalahoi mtaitwa mkatoe maoni yenu halafu atakuja kuhutubia pumba zake?
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Amalize ishu ya posho za Madoctors...Ndugu zetu wanakufa huko ana raha gani ya kugawa juisi kwa NGOs?
   
 6. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  SIJUI KWA NINI BADO WAJINGA WACHACHE HAWATAKI KUIKUBALI CHADEMA? SIJUI KWA NINI?

  1. Si ni CDM walianzisha issue za ufisadi CCM wakadandia?
  2. Si ni CDM walipinga swala la Richmond kulipwa wakati SISIEM walishalibariki?
  3. Si ni DR Slaa wa CDM alistukia vipengele vibovu kwenye muswada wa sheria ya uchaguzi mpaka rais kaona aibu kwa kuwa alisha saini?
  4. Si ni chadema walioanzisha ishue ya kukutana na raisi kutokana na kuipinga huu muswada mbovu wa mchakato wa katiba mpya?
  5. Si ni Chadema wanaotoa hoja hoti bungeni?
  6. Si ni chadema kila kitu


  Mbona Watanzania VIPOFUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU?
   
 7. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #7
  Feb 3, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Enzi hizi za Jk Ikulu imekuwa Kama gulioni, Wavuta bhange, Wauza unga, Wazinzi...kila mtu anaingia. Hebu chunguzeni Ratiba ya Huyu Jk Akiwa ikulu ujue ametembelewa na wageni, kama hakuna Wageni huyoo kiguu na njia kuzurura, Hivi Maripoti anayopewa Huwa anasoma saa ngapi?? Au huwa anatoboa Usiku???
   
Loading...