Hivi Mapacha watatu, ndo watu wangapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Mapacha watatu, ndo watu wangapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nimie, Feb 2, 2012.

 1. nimie

  nimie JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Au mie ndo sielewi jamani! Hivi ukisema mapacha watatu, unamaanisha kuna watu wangapi? Nahisi kwenye tangazo lao, maneno na picha vimeachana.
  mapacha1.jpg
   
 2. aikaruwa1983

  aikaruwa1983 JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,360
  Likes Received: 1,185
  Trophy Points: 280
  pacha, peche, pichi, pocho puchu.........!!

  tunatumia hilo la pacha maana hayo mengine hayana maana.....
  ilitakiwa waitwe pichi watatu na wakiwa wanne kama kawaida........a.k.a solo
   
 3. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 180
  mimi mwenyewe pia ni mgeni ktk eneo hilo, hivyo sielewi
   
 4. Kaliua urambo

  Kaliua urambo JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 606
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  wameamaanisha ndugu watatu wa baba mmoja kwa mama moja ila matumbo mbalimbali
   
 5. nimie

  nimie JF-Expert Member

  #5
  Feb 2, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hii nadhani unaweza kuianzishia thread yake, duh!
   
 6. nimie

  nimie JF-Expert Member

  #6
  Feb 2, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Jibu lako linaweka hadharani taswira ya jina lako!
   
 7. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #7
  Feb 2, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,562
  Likes Received: 3,858
  Trophy Points: 280
  walitakiwa wawe sita!

  unasemaje? wasiitwe hivyo.....sometime somethings just happen
   
 8. nimie

  nimie JF-Expert Member

  #8
  Feb 2, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Yes Waberoya, that's it. Kwa sababu ukisema pacha, huyo ni mmoja (a member of twins). Kwa hiyo mapacha watatu inamaana ya jozi tatu za mapacha. Nilidhani ingekuwa sahihi kutumia "pacha watatu". Hiyo ndo kwa mujibu wa uelewa wangu.
   
 9. Kaliua urambo

  Kaliua urambo JF-Expert Member

  #9
  Feb 3, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 606
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  hivyo ndo walivyomaanisha,kwani wewe location yako humu humu,kuna sehemu inaitwa humu humu,punguza complication

   
 10. nimie

  nimie JF-Expert Member

  #10
  Feb 4, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Unashangaa na "Humu humu" wewe! Sema hujui Humu humu iko wapi, kwani ulitegemea kutakuwa na maeneo kama Mchambawima, Uzini, Tunduni, nk. Punguza povu mkuu!
   
Loading...