Wanasiasa waja na kauli mbiu mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanasiasa waja na kauli mbiu mpya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Makupa, Feb 3, 2012.

 1. M

  Makupa JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  kutokana na ukweli ya kwamba wanasiasa wengi ni waongo ili kuendeleza uongo wao kwa wananchi,wamekuja na kauli mbiu mpya ambapo pale mwanasiasa anapokosa jibu la moja kwa moja, huwa wanajibu kwa mkato kuwa hili jambo LINAJADILiKA
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  iiiisssshhhhh!
   
 3. bona

  bona JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  wengi wakisakamwa na media na kelele kutoka kwaq wananchi kuhusu has tuhuma za wizi wanaenda underground kimyaaaaa hawaibuki mpaka watu wakisahau!
   
 4. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,876
  Likes Received: 2,824
  Trophy Points: 280
  Mkuu hii kauli anapenda sana kuitumia mh. Mwanri! Utamsikia kusema kweli hili jambo linazungumzika, nimhakikishie tu mh. Masaburi.....! Ah ha ha haaaa siasa bwana!
   
Loading...