Unamfahamu vizuri yule mzee mweupe anayeongoza magari pale mbezi stand...!!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unamfahamu vizuri yule mzee mweupe anayeongoza magari pale mbezi stand...!!?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chabo, Feb 2, 2012.

 1. C

  Chabo JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 785
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 80
  Amefariki dunia leo...mungu amuweke mahali alipomwandalia.amen
   
 2. regam

  regam JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 268
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Source!,
   
 3. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  My God!!! I admired him! Wether paid or not!! He did his level best
   
 4. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  pamoja na kula 200 za hiece kuvunja sheria alikuwa msaada mkubwa kwa watembea kwa miguu pale kwenye zebra!
  may his soul rest in peace!
   
 5. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #5
  Feb 2, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Jf kweli kiboko ata msiba mtu anataka chanzo cha habari?
   
 6. Nyaluhusa87

  Nyaluhusa87 JF-Expert Member

  #6
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 1,288
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Alikuwa msaada sana pale mbezi kwenye zebra hasa kwa wanafunzi...May his soul RIP
   
 7. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #7
  Feb 2, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,117
  Likes Received: 6,597
  Trophy Points: 280
  Kwel alitwaliwa yule kaka nilimfaham toka ameanza kuvusha wanafunz pale kuna wkt nilikuwa nampa hata mia mbil wameaga leo Alikuwa anaishi maeneo ya kmara na ni mwenyeji wa rombo. soure ni mm mwenyewe. R.I.P Kamanda.
   
 8. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #8
  Feb 2, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sikuwahi kumfahamu lakini ubunifu wake ni kielelezo kwamba KAZI NI KIPIMO CHA UTU.Roho yako ipate rehma kwa Mungu ipumzike kwa amani,amin.
   
 9. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #9
  Feb 2, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Imenigusa sana japo sikuwa namfahamu kabisa,RIP
   
 10. T

  The Priest JF-Expert Member

  #10
  Feb 2, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,026
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Dah!i knw him..r.i.p
   
 11. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #11
  Feb 2, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Alikua anasumbuliwa na ugonjwa gan?Rip mzee mweupe.
   
 12. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #12
  Feb 2, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Aliwasaidia sana wavuka barabara ingawa kwa upande mwingine alikuwa anasababisha foleni kubwa sana ya magari kwa karibu wakati wote alipokuwepo akivusha watu na hasa watoto. Hatahivyo nawapa pole ndugu jamaa na marafiki kwa msiba huu. Sisi sote ni waja wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.
   
 13. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #13
  Feb 2, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,508
  Likes Received: 5,740
  Trophy Points: 280
  OOOOOOOOHHHHHHHHHHH MY GOD MUNGU AMPE RAHA YA MILELE YAANI KTK WATU WAKIULIZWA ALIFANYA NINI MEMA DUNIANI NAHISI WALIOPEMBENI YAKE WATAWAHI KUJIBU NA UPENDO WAKE JAMANII NAMKUMBUKA TOKA AKIWA UBUNGO WAPENDWA ALIKUWA MSAADA KWA WANAFUNZII KWELIIIIIIIIIII LOH....YAANI PAMOJA NA KUPEWA VIJISENTI NA WASAMARIA MEMA AALIKUWA ANAPENDWA NA MATEJA KAMA TEJA KUMBE NI KUISHI TU NA WATU VIZURI SASA HUYU ANALO LA KIJIBU HUKO JUU ALITENDA MEMA WEWE NA HUYU WA CHINI MTAJIBU NINI...

  [​IMG]
   
 14. K

  Kwaito Senior Member

  #14
  Feb 2, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jaman yule mzee!dah, so sad!May HIS SOUL Rest in Eternal Peace!
   
 15. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #15
  Feb 2, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,508
  Likes Received: 5,740
  Trophy Points: 280
  Acha tu kwaito mchango ni pm nikupe tigo pesa utafika ingawa naambiwa amelazwa pale himo usikuu huu wanasubiri kukuche apandishwe kule juu
  mungu ampe raha ya milele bado ujachelewa kwenye michango..msisubiri wakafie appolo ndio tutoe michango tuanze hapa hapa tunaomjua
   
 16. C

  Chabo JF-Expert Member

  #16
  Feb 3, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 785
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 80
  Endelea hivyo hivyo kuwa tomaso!!!iko siku utajielewa...
   
 17. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #17
  Feb 3, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,581
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  mbezi ya morogoro road? Nimesoma hii shule ya msingi miaka ya 80 kuanzia std1 -7.
  rip soldier!
   
 18. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #18
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Hao ndo watu wa kuishi.
  At least amelifanyia kitu taifa, ila Mungu haulizwi kwanini kamchukua huyu mwana halafu kamuacha Pinda?
   
 19. Jokanana

  Jokanana Member

  #19
  Feb 3, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mungu amlaze pema peponi.huyu mzee namjua tangu nilipokuwa mdogo ni kweli alikuwa akitusaidia kuvuka pale ubungo.
   
 20. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #20
  Feb 3, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mgomo wa madoka nini?
   
Loading...