Watawala wa tanzania nadharau zao kwawananchi.wanaowaongoza!? ........(nukuu

binti ashura

Senior Member
Jan 14, 2011
118
19
WATAWALA WA TANZANIA NADHARAU ZAO KWAWANANCHI.WANAOWAONGOZA!? ........(NUKUU
YA LEO!!).......

Anna Makinda - Tumeongeza posho kwa wabunge kwasababu
maisha ya Dodoma yamekua magumu sana.....

Basil Mramba Waziri - Ndege ya Rais Lazima Inunuliwe ikiwezekana hata
Wananchi Wale Nyasi.........

Magufuli -- Pigeni mbizi kama mkiona nauli ni Kubwa........

J.M.KIKWETE. .- Kelele zenu hazinifanyi nishindwe kulala!......

Mustafa Mkulo -- Kila mwananchi atabeba Msalaba Wake...
Serikali haimo............

Stephen Wassira - Mnaulizia mvua kwani nani kawaambia mimi ni
waziri wa mvua?...........

Mwantumu Mahiza - Waliomaliza vyuo na kukosa ajira waanzishe miradi
ya kufuga kuku inalipa sana.............

Jumanne Maghembe "Wazazi wawasomeshe watoto wao"WATOTO WA
MASIKINI!!........

Kikwete - Ngeleja hawezi kuletea Mvua.........

Kikwette.. 1.Wanafunzi wanaopata uja uzito wakiwa bado mashuleni
ni kiherehere chao.
2. Hii sheria nitaisaini kwasababu
nisipofanya hivyo wenzangu hawatanielewa......

Sofia Simba - Wanawake Wanyimeni Waume zenu! ''TENDO LA NDOA''
Wakiwapigia kura Wapinzani............

Didas Masaburi - Wabunge wa DSM wanafikilia kwa Makalio.............

Ridhiwani Kikwete - Mimi si Fisadi Naishi Kimjini mjini Nina
kipande kidoogo cha Uwanja wa Urithi na Toyota Collola Hayo ma Vogue
mnayoniona nayo si yangu Bongo tunaishi kijini mjini.. Lake Oil sio
Yetu.........

Pinda: Vihela vyenyewe vidogo vinaishia kuwapa wapiga kura wetu wanapokuja
dodoma.......

Kikwete: foleni dar es salaam ni ishara ya maisha bora........

Malecela -You can go to Hell!........

Mizengo pinda;. ... tukishitaki mafisadi uchumi wa inchi
utayumba.......

Jakaya..kikwete; ukitaka kula ni lazima na wewe uliwe..unataka
kula tu bila kuliwa!!??.....haiwezekani!!!! -!..........

Anna Makinda: ' siasa ni wakati wa uchaguzi tu viinginevyo
wananchi mtakufa masikini.........

Salva rweyemamu: Tungetaka tungemkamata balali lakini hatuna haja ya
kumkamata-Ikulu.....!!........

"Jamani mbona hivi ni vijisenti tu! Chenge" (akihalalisha takribani zaidi ya
$ 1M alizozipata kifisadi kuptia manunuzi ya Rada).....

"Mie sijali rangi ya paka najali kama anakamata panya" (Mkapa akiitetea
contracted Manjement ya Tanesco (Net Group Solutions) .........

Anne Makinda- kilimo kwanza ni kwa wanaomaliza darasa la
kumi na mbili wa shule za kata, sababu hawana nafasi huko juu na kuna
wenyewe.........



MUNGU IBARIKI AFRICA....MUNGU IBARIKI TANZANIA.....kwaleo naishia hapo
 
Back
Top Bottom