Je Arusha Journalism Training College Kimepata Usajili na NACTE Kwa Mwaka 2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Arusha Journalism Training College Kimepata Usajili na NACTE Kwa Mwaka 2012

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by FERNAANDO, Feb 3, 2012.

 1. F

  FERNAANDO Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwezi wa january katibu mtendaji Nacte alitangaza vyuo vilivyopata usajili wa muda na vile vilivyopewa usajili wa kudumu napenda kufahamu kwa wanaojua mambo ya usajili je chuo cha ARUSHA JOURNALISM TRAINING COLLEGE KIMEPATA USAJILI mwaka 2012
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Rekebisha heading...naamini ulimaanisha CHUO na sio chu!
  Swali au statement?
  Ninaishi hatua 20 toka kilipo, lakini nasikitika sijakifuatilia kabisa!.Labda ni hobby sina!
   
Loading...