katika hatua ya kushangaza spika na waziri mkuu wamedai posho zimepanda wote wakiliongelea swala hili kwa nyakati tofauti na ofisi ya rais kukanusha kuwa hazijapanda huu ni mwendelezo wa vituko...
Nimefuatilia mchakato wa ugawaji wa fedha kwa walimu wapya wanaoripoti kwenye halmashauri zao na kupelekwa kwenye vituo husika. Baadhi ya halmashauri wanadai hawajapelekewa fedha za walimu hao...
Wapendwa nilikuwa nasikia bbc leo
nikasikia moja ya mapendekezo ya wah wetu ma dk ni mshahara wa million 3 ..pamoja na marupu rupu inafika mil 6
ikaulizwa je serikali gani yenye uwezo wa kuwalipa...
Baada ya kutoa matokeo sasa ndo nimeelewa kigugumizi cha serikali kuyatoa huku watoto wake zaidi ya nusu hawakufikisha 30!! Sijui kutatokea miujiza gani ili 2012 washindwe wachache wastani uzingatiwe!
Moja ya hoja madokta wanayoidai serikalini ni kuwa waruhusiwe kula msosi wanaopika kwasababu kwa utaratibu wa sasa wapo madokta ambao ni marufuku kufanya hivyo.
Eti kwa mshahara wa dokta hana sifa...
Habari za kuaminika kutoka BOT kitengo cha banking supervision zinakiri kupokea barua kutoka Nigeria za kumtaka Ayobola arudi/Recalled UBA-HQ kutokana kuvuja kwa mabaya yake na kusababishia UBA TZ...
MRADI WA KAPUNGA HALI NI TETE
Habari na Ezekiel Kamanga, Mbeya
Hali ya wakazi wa Kijiji cha Kapunga, wilaya ya Mbarali mkoa wa Mbeya imeendelea kuwa tete, baada ya mwekezaji wa mashamba ya...
In many cases phrases like people being proud of being black,African, Tanzanian etc pop up in an uncharacteristic occurrance,i feel that this is an infiriority comlex indicator,cuz its used by...
kumetokea tofauti ya idadi ya waliopata athari za mafuriko na wale wanaotakiwa kupewa viwanja eneo la mabwepande baada ya mafuriko.badala ya 550 idadi imeongezeka kufikia 650.hii inaashiria kuwa...
Picha ya gazeti ambayo inaonyesha waafrika kama nyani wakigombea mwanamke wa ki-Ukraine
Wakereketwa wa haki za binaadamu nchini Ukraine wametoa wito kwa rais wa taifa hilo, Viktor Yanukovych...
Ni kiongozi peke yake aliyebaki anaekaripia mafisadi .takribani wabunge wote wa CCM wapo kimnya hakuna anaezungumzia kuhusu ufisadi kila mmoja anogopea maisha yake,tukirudi kwa mzee sitta...
Wana JF kama mnakumbuka ule mradi wa mji wa kisasa maeneo ya makondeko mpaka kibamba ambao tulitangaziwa na waziri wa aridhi wa kipindi hicho John Chiligati mpaka sasa hatuelewi mradi huo umeishia...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Herbert Mrango
Wizara ya Ujenzi, imesema kuwa miradi sugu ya ujenzi wa barabara iliyokuwa imekwama kutokana na madeni tayari ujenzi umeanza kwa kuwa...
Hakuna kitu kinachonikera kama kumwona mtanzania mwenzangu anamiliki simu ya laki hata tatu, lakini ni kwa matumizi ya kupiga, kupokea na kutuma msg tu.
Mi nilisikitika kuna siku nilitoka mwanza -...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.