Shine JF-Expert Member Feb 5, 2011 11,481 1,364 Feb 3, 2012 #1 Mgomo wao unadai kiongozi wao aondolewe madaraka kutokana uongozi mbovu pia hatoi risiti ili kujulikana idadi ya ng'ombe waliochinjwa Source Magic Fm
Mgomo wao unadai kiongozi wao aondolewe madaraka kutokana uongozi mbovu pia hatoi risiti ili kujulikana idadi ya ng'ombe waliochinjwa Source Magic Fm
king'amuzi JF-Expert Member Jan 10, 2011 614 225 Feb 3, 2012 #2 wacha wapumzike nami nile kuku na samaki
Inkoskaz JF-Expert Member Nov 6, 2010 6,372 2,375 Feb 3, 2012 #3 king'amuzi said: wacha wapumzike nami nile kuku na samaki Click to expand... Kweli bana....hata kitimotoz...
king'amuzi said: wacha wapumzike nami nile kuku na samaki Click to expand... Kweli bana....hata kitimotoz...
Shine JF-Expert Member Feb 5, 2011 11,481 1,364 Feb 3, 2012 Thread starter #4 Inkoskaz said: Kweli bana....hata kitimotoz... Click to expand... Wangegoma wa kitimoto ningeandamana maana ile ni kama wese kwangu
Inkoskaz said: Kweli bana....hata kitimotoz... Click to expand... Wangegoma wa kitimoto ningeandamana maana ile ni kama wese kwangu