uniliver vp

bibliography

JF-Expert Member
May 20, 2011
614
226
wadau jumatatu naenda kufanya interview hv yniliver wanalipa bei gani kwenye post ya adminstrative officer
 
Kabla jumatatu haijafika, jitahidi ujifunze umakini hasa juu ya majina ya terms. Ni unilEver. Jaribu kupitia website yao na kujua a few stuff about them. Kama ni hapa UNILEVER London, mshahara ni confidential siwezi kukutajia.
 
wadau jumatatu naenda kufanya interview hv yniliver wanalipa bei gani kwenye post ya adminstrative officer

Frankly speaking.
Kama wewe ndie uliyeomba hii kazi, nakuhakikishia HUPATI!
Unashindwa hata kuandika Unilever? Halafu ndo uwe nani sijui wa kampuni...
 
Back
Top Bottom