Conspiracy theories behind Gongo la Mboto bombs | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Conspiracy theories behind Gongo la Mboto bombs

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Relief, Feb 17, 2011.

 1. Relief

  Relief JF-Expert Member

  #1
  Feb 17, 2011
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nashindwa kuelewa kama kweli haya mabomu yanalipuka yenyewe or there is a conspiracy behind? Hivi macomrade inawaingia akilini kweli kwamba haya mabomu yanalipuka yenyewe tuu? Then where next, is it Lugalo, Kunduchi or,.....?

  Na nini justification yake.

  We should ask ourselves twice about this.

  Last time yale ya Mbagala tukajulishwa ni accident tuu hivyo hali hiyo haitojirudia tena, yako wapi waliyoahidi sasa? Nani awajibishwe?

  Wanajamii, naomba kuwasilisha.:bump:
   
 2. P

  Pokola JF-Expert Member

  #2
  Feb 17, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  There is.
   
 3. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #3
  Feb 17, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Mkulu same question nimejuliza usiku kucha sina jibu there must be something going on within our government, labda tuulize wazoefu ni kweli yanaweza kulipuka yenyewe tu?
   
 4. Relief

  Relief JF-Expert Member

  #4
  Feb 17, 2011
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mimi nafikiri kuna mkono wa mtu ama watu ktk hili, pengine ni lengo la kushinikiza jambo fulani au kutishia kwa ajili ya kukamilishan matakwa fulani,.actually am yet to find the answer kwani hili suala nimeona nilifuatilie kwa karibu zaidi then nitawahabarisha. But definitely, something is cooking up!! The question is, tumwajibishe nani kwa madhara haya??
   
 5. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #5
  Feb 17, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  yanalipuka kipindi ambacho ''waziri mkuu'' anapotakiwa kuthibitishwa kuwa ALILIDANGANYA BUNGE
   
 6. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #6
  Feb 17, 2011
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Ni ajali kama ajali nyinginezo, hakuna conspiracy ya aina yoyote
   
 7. k

  kagosha Member

  #7
  Feb 17, 2011
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hata mimi nimeongea na jamaa yangu mjeshi kaniamabia kuna hali ya kinyongo miongoni wa wajeshi. hawamtaki shimbo na mwamnyange kwa sababu uteuzi wao ulizingatia uswaiba badala ya weledi. tena kasema kimsingi hao jamaa niliowataja hapo juu hawana sifa kwenye nafasi hizo ila mkuu kawapa kishikaji .
   
 8. K

  KVM JF-Expert Member

  #8
  Feb 17, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,814
  Likes Received: 336
  Trophy Points: 180
  There is no conspiracy in what has happened at Gongolamboto, what happened in Mbagala, the sinking of the ship in Lake Victoria, the train that derailed in Dodoma, cholera in Dar, etc. We are going to witness even more calamities. It is part of Tanzania's wider picture.

  Tanzania today is a lawlessness place. We have developed a habit of negligence. We don't like to obey laws set by ourselves through members of parliament or follow rules and regulations on how certain things should be done. We do things the way we like. I can bet that what set off those bombs was negligence.

  Until such time when Tanzanians learn to do things the way they are supposed to be done we will see more calamities, not in only in the form of bombs. We need to live by following laws, rules and regulations. No one should be above the law. Drive in Dar and you will see how chaotic it is. Motorists do not follow any of the known traffic laws - they overtake on the right and on the left. If you drive upcountry Traffic Police will only stop you and ask for a bribe or ask you to pay a fine if you are an ordinary citizen. Government vehicles, army vehicles, those owned by members of parliament, etc. are exempted!!!! That is the fallacy of our laws in Tanzania. Laws, rules and regulations are for the downtrodden only.

  We must blame our leaders. Past and presnet for the problems we are experiencing. Their laissez-faire attitude is costing our country. slowly it is becoming a country most of us would not like to live in. We would like to go and live in other countries where people live in a civilized manner. Let us save this country and make it a nice place to live in.
   
 9. L

  Leornado JF-Expert Member

  #9
  Feb 17, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kutokana na mataifa mengi kwa sasa kukumbwa na maandamano ya kuondoa watawala dhalimu na wala rushwa kama Kikwete, nina uhakika wameamua kulipua mabomu ili mawazo ya watanzania yaelekee kwenye hii current issue ya mabomu na kunyamazisha njama zote za maandamano dhidi ya serkali ya kikwete.

  Serikali ya CCM hana uchungu watanzania lolote linawezekana na watatoa takwimu za uongo hata kama wamekufa wengi.

  RIP wahanga wote wa mtego huu ambao umeenda mrama na kuua watanzania wasio na hatia.
   
 10. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #10
  Feb 17, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,231
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  si sahihi sana kuwaza hivyo kwa sasa,nadhani ni mapema mno kufikiri hivyo kwa kua serikali ni watu siamini km wanaweza kutumia mfumo wa aina hii kupindisha mambo! Nadhani we 'great thinkers' tuoneshe ukomavu wetu katika hili!
   
 11. g

  geophysics JF-Expert Member

  #11
  Feb 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Let's not be too conclusive but the reality will prevail though it'll be too late... I believe there is something wrong .... Perhaps could be lack of motivation among people working on those storage units
   
 12. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #12
  Feb 17, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nadhani hizo intelijensia zingesaidia sana kwenye masuala kama haya badala ya kutumika kuua raia wasio na hatia wala silaha kwenye maandamano ya amani. Kila mtu alitarajia tukio la mbagala lingetoa funzo kwa wahusika kuchukua hatua stahiki lakini hawakufanya hivyo mbali ya kukataa kujiuzulu. Sasa tunapoteza watu wasio na hatia na wengine kupata ulemavu. Huu ni UZEMBE WA HALI YA JUU. Rais, Waziri wa Ulinzi na Mkuu wa Majeshi LAZIMA WAJIUZULU.
   
 13. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #13
  Feb 17, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,579
  Likes Received: 3,882
  Trophy Points: 280
  hamna conspirancy, maisha ya kubahatisha bongo, ujinga na ujuaji mwingi! ubishi na uwongo! kutowajibika na kutegeanam, uvivu na majungu!! this is our problem! kuhakikisha hilo watu wanaendela na maisha wakati ilikuwa siku nzuri kuingia mitaani kushinikiza watu wajiuzulu...watanzania UJINGA TUNAO! kusingizia viongozi ni ujinga mwingine!
   
 14. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #14
  Feb 17, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,231
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Time will tell...ukweli ni km moto mara zote, hivyo haiwezekani kuuficha kichakani maana athari zake ni kubwa zaidi!
   
 15. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #15
  Feb 17, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,638
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  :coffee: bado natafakari
   
 16. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #16
  Feb 17, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Inawezekana kabisa kuwa hii milipuko ya mambomu tokea Mbagala hadi Gongo la Mboto ni ususi wa Chadema,ieleweke tu Chama hiki kimeikalia vibaya sana Tanzania ,wapo tayari kwa lolote ,tumeona kule Arusha.

  Nina wasiwasi mkubwa na watu wa Chama hiki maana baada ya mlipuko tu wamerukia eti baadhi ya viongozi wajiuzulu,nashauri hawa wakuu wa CDM waitwe na kuhojiwa kuhusiana na habari walizozitoa. Lazima watakuwa wana jambo wanalijua.

  Usalama wa Taifa hili la Tanzania ni lazima wawadhibiti na kuratibu mienendo ya wakuu wa CDM,isije kuwa wanasabotage ili kuidhalilisha serikali na kutoa picha mbaya.
   
 17. H

  Hosida Member

  #17
  Feb 17, 2011
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli hoja ya kuwa serikali imefanya hivyo kwa makusudi sio kweli kabisa kwani matukio kama haya yanaongeza chuki ya watanzania juu ya utendaji mbovu wa serikali yetu kuanzia idara ya usalama wa Taifa na viongozi wengi wa ngazi za juu kama waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa.

  Hii inaonesha wazi kuwa viongozi wetu wa Jeshi wamezamia siasa (Kama Shimbo alivyoingila masuala ya Kampeni za uchaguzi mwaka jana kwa kuwatisha watanzania) na kusahau majukumu yao ya Kiusalama.

  Bado tunahitaji muda wa kutafakari then kuchukua Hatua.
   
 18. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #18
  Feb 17, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,364
  Likes Received: 3,130
  Trophy Points: 280
  Hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa............................kweli wewe mwiba butu!!!!!.......yaani wewe ni sawa na waislamu na makamba waliofurahia vifo vya kule arusha.......kweli mafisadi wapo kila pembe ya nchi
   
 19. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #19
  Feb 17, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45

  Ninakuomba sana kama utaweza ufute post hii ndugu yangu, maana wewe hutafuti kuwasaidia wahanga badala yake unataka kuwaingiza watu kwenye migogoro ya kisiasa! Tumesema siasa itoke kwenye hili suala then wewe unaazisha thread mbaya kama hii tukueleweje? Wengine tupo hapa JF lakini tumeathirka na hili tukio halafu unatuletea upuuzi wako hapa utusaidie nini! Jifunze adabu kama hutaki shida! Invisible futa hii thread!
   
 20. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #20
  Feb 17, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Light travels faster than sound. This is why some people appear bright until you hear them speak.
   
Loading...