Makinda huoni aibu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makinda huoni aibu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by CHIPANJE, Feb 3, 2012.

 1. C

  CHIPANJE JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ninapata mashaka na uwezo wa kufikiri wa mama huyu na kumwona kua ni msahaulifu.

  Mara ya kwanza alipotelea ufafanuzi suala la kupandishwa kwa posho za wabunge alidai kua gharama za maisha Dodoma zipo juu.

  Leo hii anatuambia mbunge si mtu tajiri kama watu wengi wanavyodhani,eti ana makato mengi kiasi hubakiwa na mshahara wa 100,000/= hadi 45,000/=

  Na tena anasema wao huombwa na wapiga kura wao pesa,hivi kama waliweza kuwapatia fedha wakati wa chaguzi na hawakuwasemanga leo shida iko wapi?


  Ikiwa wanataka posho ili wakawape wapiga kura wao,kwanini kisiundwe chombo maalumu cha kukusanywa nyongeza ya posho ili wananchi waombao wawe wanapewa bila kupitia mbunge?

  Chochonde Makinda wangalie watanzania katika eneo pana.
   
 2. Mkulima wa Kuku

  Mkulima wa Kuku JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,259
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Mhurumieni huyu mama bure. Amevaa viatu vya babu zake kwa lazima na kamba a kuvifungia ni fupi. Hana hoja hana uwezo wwa kufikiri na ujue kaka kimtokacho mtu kimo moyoni mwake
   
 3. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2012
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145

  Huyu mama nadhani upeo wake unapungua day by day yeye alidhania kukaa pale ni raha tuu basi,

  Wajua bwana hao wana CCM esp Wabunge wanajisahau sana kipindi JK akipita akitupa ahadi zisizo timilika wao walikuwa wakifurahi sana kumbe madhara yake ni haya ya wao tena kuombwa hela kwani wakati wa uchaguzi walikuwa wana wapa kwa kutoa ahadi fake sasa unarudi jimboni kwakao na huja fanya lolote wategemea nini uliwawezesha kwa njia zipi kuwanyanya kiuchumi ??? kazi ni kupiga makofi na meza huko bungeni badala ya kuwajibisha serikali hili bunge CCM esp wabunge wameenda kufurahisha umma ukiwaambia wana kuwa wakali wana jisahau kuwa Rais JK alitoa ahadi hapo ndipo pa kishikia serikali ili next President asije tena na ahadi fake

   
 4. BINARY NO

  BINARY NO JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,778
  Likes Received: 588
  Trophy Points: 280
  YUTONG: Kwani mmesahau kipindi ishu ya RICHMOND imefukuta SITTA kunakipindi alikua nje ya nchi alimkataria asiendeshe ule mjadadara kwani alimuona nae ni pathetic deputy speaker asieweza kuendesha hoja nzitonzito.... sasa wakambeba akabebeka sasa kashindwa kushikilia mpaka anaanza kua opposite kwenye ishu ya posho kwa aliembeba kumbe ana shukurani wala heshima huyu maYUTONG! kwa hiyo hizo posho anategemea aombwe na wapiga kura wake alafu awape? even a narrow minded like a goat can never buy that upupu wa 21[SUP]st
  [/SUP]
  [HR][/HR][HR][/HR]
   
Loading...