Wana JF,
Katika safari zangu huko kasikazini mwa tanzania na huku kanda ya ziwa nilikuja kutana na matatizo katika Bank zetu hizi na nikagundua kwa silimia fulani hizo camera walizo zifunga ndani...
Inanikera sana hii tabia, jana jioni walikata then bunge lilipoisha wakarejesha, leo baada ya maswali na majibu wamekata then wanasubiri ifike saa saba warudishe ili saa kumi na moja wakate tena...
BUNGE limekataa kupitisha Azimio la
Serikali la kutaka kupunguza ushuru wa
maji kwa madai kuwa kiwango
kilichopunguzwa hakimgusi mlaji wa
chini.
Azimio hilo lilitaka Bunge hilo kupitisha...
Leo nimemsikia Mchungaji Getrude akihojiwa na Clouds FM, alipoulizwa kuhusu swala posho bungeni akajibu " siwezi kulizungumzia hili, mimi ni mtu mdogo sana. Zikiwepo nitazichukua zisipokuwepo...
Naomba tukumbushane kidogo sakata la wizara ya afya kutangaza vipimo feki vya VVU,katika aya ya pili kwenye taarifa yao walioichapisha kwenye mtandao wao kuna sentensi hii ¨Ninapenda...
Waziri wa Maji, Profesa Mark Mwandosya
Wananchi wa Mkoa wa Mbeya wamesema kuugua kwa muda mrefu Waziri wa Maji, Profesa Mark Mwandosya na Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison Mwakyembe...
Iwapo thread kama hii imeshakuwepo mtaniwia radhi.
Hivi kumwalika mtu nyumbani kwako ndio lazima umuonyeshe mbele ya kadamnasi ya watu jinsi anavyokula,anavyokunywa na anavyocheza?
Mtu...
Nilipigwa na butwaa nilipomsikia kiongozi huyu mkubwa wa TUCTA taifa akibeza mgomo wa madaktari,akidai kuwa si halali,pamoja na mambo mengine.Pamoja na kuwa haya ni mawazo yake binafsi na anao...
Wakati kilakona ya Jiji la Mwanza Ccm wako busy na sherehe za chama kitaifa zitakazofanyika jijini hapa tarehe 5 mwezi huu ,wakazi wa jiji tunalia na kusaga meno juu ya mgao wa giza tulonao sasa...
Watanzania wanahitaji sana vazi la taifa kwa sasa?
Faida yake nini hasa?
Maana campaign zake ni kiboko na sasa kamati kuzunguka mikoani kutafuta mawazo ya hilo vazi liweje?
Kwa pesa ipi?
KWA TAKRIBANI mwezi mmoja sasa Wizara ya Habari, Utamadani na Michezo imekuwa ikitoa tangazo kwenye vyombo mbalimbali vya habari linalowataka watanzania wenye sifa mbalimbali kujitokeza ili...
Leo katika kipindi cha Jambo Leo na TBC ni George Simbachawene na Tindu Lissu..... Simbachawene anashauri umefika wakati wa vyama vya siasa kuwa kitu kimoja Bungeni kwa manufaa ya wananchi na pia...
Nimepita magomeni mapipa nyuma ya msikiti wa mchangani, rais wa Tanzania yu-katika hali ya majonzi ya kufiwa na mtoto wa dada yake, sifahamu marehemu aliitwa nani.
Mwenye taarifa za kina atujuze...
katika miaka hii ya karibuni tumeshuhudia matokeo mengi katika Nchi yetu, miongoni mwa hayo ni kueleweka kwa Viongozi wanao shutumiwa na Ufisadi zidi ya mali za nchi, na kundi jengine ni lile la...
Bunge laingilia mgomo wa madaktari
Send to a friend
Thursday, 02 February 2012 21:35
0digg
Waandishi wetu Dar na mikoani
HATIMAYE Bunge limeingilia kati mgomo wa madaktari kwa kuitaka...
Baada ya kamgomo ketu ka kudai maslahi, nipo kwenye ka-zahanati kangu hapa Mikocheni, naangalia kinachoendelea Mjengoni, nawasikia Wabunge Ndugulile na John Mnyika wakitaka suala la mgomo wa...
Katika hotuba yake ataongelea mambo yafuatayo muhimu kwa Taifa;
1. Inshu ya Jairo na CAG
2.Kupanda kwa gharama za Umeme
3 Posho mpya za Wabunge
4.Mgomo wa Madaktari na maslhi ya Watumishi wote wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.