Kiwanda cha magondoro (Comfy) chaungua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanda cha magondoro (Comfy) chaungua

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MANI, Feb 3, 2012.

 1. MANI

  MANI Platinum Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,114
  Likes Received: 1,360
  Trophy Points: 280
  ndugu wana bodi moto mkubwa umetokea kiwanda cha magodoro comfy chang'ombe.

  Updates to come!
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,233
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Too bad!...chanzo nini?...kunajuhudi zozote kuuzima?
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 19,509
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  poleni kiwanda cha magondoro(kama ilivoripotiwa na MANI) kwa janga la moto..msijali JK yupo mjini hapa atakuja kuwapa pole
   
 4. King2

  King2 JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,292
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nipo maeneo ya Tazara hapa naona Moshi Mzito unatokea pande za chang'ombe.
   
 5. MANI

  MANI Platinum Member

  #5
  Feb 3, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,114
  Likes Received: 1,360
  Trophy Points: 280
  magari mawili ya zimamoto yamefika wamefanikiwa kuupunguza !
   
 6. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,902
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Poleni sana!! Chanzo nini mkuu MANI?
   
 7. MANI

  MANI Platinum Member

  #7
  Feb 3, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,114
  Likes Received: 1,360
  Trophy Points: 280
  Short ya umeme walikuwepo mafundi wa tanesco na wakiwanda wanarekebisha kitu ndio ghafla hali ikawa hivyo!
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Feb 3, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,282
  Likes Received: 4,253
  Trophy Points: 280
  si wana bima
   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Feb 3, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,982
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Ni cha mzawa au mwekezaji? Kama mwekezaji anakwepa kodi huyo
   
 10. manenge

  manenge JF-Expert Member

  #10
  Feb 3, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  its very unfortuanately na miundo mbinu yetu mibovu ya kuzima moto sijui itakaje
   
 11. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #11
  Feb 3, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,240
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Unajua siku utajatokea moto apo muhimbili tuu hawa jamaa wa fire utawashinda.
  Ni kama soko la mbeya limeungua wakati soko liko almost nyuma ya fire station.
  Yaani huwa siwaamnini kweli hawa jamaa sijui ndo mgomo baridi ambao ni endelevu.
  Ila poleni kama ilo tukio sio la kukwepa kodi kama ndio nawithdraw pole yangu!
   
 12. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #12
  Feb 3, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,800
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  dah! Hasara nyingine kwa taifa
   
 13. salito

  salito JF-Expert Member

  #13
  Feb 3, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,099
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  unastahili like sema ndio simu dah..
   
 14. F

  FUSO JF-Expert Member

  #14
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 10,129
  Likes Received: 560
  Trophy Points: 280
  owner atakuwa hajalipa fungu la kumi huyo!!
   
 15. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #15
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 22,238
  Likes Received: 9,254
  Trophy Points: 280
  nani anajua?
   
 16. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #16
  Feb 3, 2012
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 15,630
  Likes Received: 2,876
  Trophy Points: 280
  BIMA Unayozungumzia wewe ni ipi...?? Hii ya Biashara Ingawa Mteja Anasota..?
  Hivi unadhani kama BIMA ingekuwa si ya kulazimishana kuna mtu angekata..?
   
 17. K

  KVM JF-Expert Member

  #17
  Feb 3, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,764
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180

  Kuzima moto soko la Mbeya labda utumie helicopter kwa jinsi ninavyolijua mimi
   
 18. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #18
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,347
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  Poleni sana!!!!!

  Bosi wa pale ni asili ya kiarabu; Tumeambiwa kuwa ni Tanesco walikuwepo mafundi. Sasa hii ni short ya Umeme kutokana na mafundi, Si kwamba labda mtu aunguze kusudi kiwanda kama kile kwani ni kikubwa sana na pale ndani ukiingia ni Magodoro yamejaa.

  Hivyo pia tuwafikirie Watanzania wenzetu wanaofanya kazi pale na pale kuna main gate moja tu.

  Sipati :photo: jinsi walivyotoka!!!!!

  Mtoa mada tupatie updates au yeyote mwenye taarifa kuhusu hali za Wafanyakazi.

  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 19. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #19
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  hawa watu wa viwanda vya magodoro huwa wanamichezo michafu sana wakishirkiana na wafanyakazi wa mashirika ya bima, nina mifano hai mitatu dodoma, dar
   
 20. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #20
  Feb 3, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,618
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Dah...inatisha..."Magondoro" yakishika moto kuuzima inahitajika utaalamu na nguvu ya ziada, kuna yeyote aliepata majeraha ua kupoteza maisha?
   
Loading...