Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika watu ambao nilikuwa naamini wana msimamo na busara ni mh Pinda lakini katika suala la mgomo wa madakteri huyu jamaa nimegundua ni zaidi ya mjinga na angekuwa na busara angeungana na mwenzie...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu wana JF, Ni masaa kadhaa yameshapita baada ya mavuno ya vijana wetu wa kidato cha nne kuwekwa hadharani. Inasikitisha sana, hii ni zaidi ya maafa. Kuna haja ya kulitafakari swala...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu nimekuwa nikifuatilia Gazeti hili la Raia na nimeendelea kugundua kuwa gazeti hili halina nia nzuri na CHADEMA ninaamini lina makakati wa chini kwa chini wa kuibomoa CHADEMA. Kwa mfano leo...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Tukio la Kwanza: Hii imetokea leo alfajiri: Dada anawahi kazini saa kumi na mbili maeneo ya Kijitonyama sayansi. Yeye ni Muajiriwa wa kampuni ya simu za mikononi maeneo ya Moroko na Drive Inn...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
wakuu nimeikuta huko facebook.kweli watu wameanza kuerevuka.Tuungane kuwasilisha sauti zetu Bungeni kwa Kusaini Petition ya Kusema Tuwasikilize Madaktari leo na Tusingoje Kesho by Mponda Sibuor on...
0 Reactions
0 Replies
880 Views
Unajua mwenzenu nashindwa kabisa kuielewa serikali yangu iliyo madarakani kwani majanga makubwa yanayoyoonekana machoni pa viongozi kuwa ni madogo yanautesa sana moyo wangu. Mabomu ya mbagala...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TANESCO kama shirika pekee nchini lililiidhinishwa kutoa huduma ya peke ya Ugavi wa umeme nchini, wamekuwa wanatuibia sisi wananchi kwa njia nyingi sana. WIZI WA TANESCO> 1. Njia ya kwanza ni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimetoka mhimbili mda si mrefu na nikaonana na daktari bingwa mmoja samahani sitamtaja jina hapa.........na akasema wao ndio wanaolea hicho kilichopo sasa wameamua kugoma ili serikali itimize...
7 Reactions
25 Replies
4K Views
Naandika nikiwa na masikitiko sana kwani serikali ya ccm imeshindwa kazi kabisa.Je kama mgomo wa madaktari sio jambo la dharura je nn kinachizidi maisha na uhai wa watu?nafikiri kwa hili tuache...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kama mtakumbuka kipindi serikali ilipoamua kuwapa nafasi waajiriwa ya kujipatia kipato,ikatoa siku ya jumamosi kuwa siku ya mapumuziko,na pia kuwahamasisha kufungua biashara dogodogo ili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu nimeshangazwa sana na ukimya wa raisi kikwete juu ya mgomo wa madaktari na madhara yake kwa raia wote (waliomchagua na wasiomchagua pia). Wananchi wanakufa kwa uzembe wa watendaji wake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mkuu wa mkoa wa Dar bwana mecky sadick alijaribu kuvaaa viatu vilivyomshinda mizengo Pinda na kujaribu kujadiliana na madaktari na kada nyingine za afya hospitali ya manispaa Temeke kuhusu...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Afisa uhusiano wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili amesema kuwa pamoja na barua waliyoipokea toka kwa madaktari bingwa kwamba na wao wamesitisha utoaji huduma, Hospitali hiyo bado haijafungwa kama...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Kwa muda sasa sijamuona mke wa ****** aliyekuwa akizunguka ovyo na mishangingi ya serikali na kutafuna pesa za wanaokufa mahospitalini kwa kukosa huduma. Swali langu ni je, viti vya maV8 ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nchi yetu inakoelekea ni kubaya! kwa hili la mgomo wa madaktari hii serikali yetu wameshafikiria baada ya hili Je watafuata kina nani maana orodha iko kubwa sana..wanatakiwa kutumia busara sana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau wa JF. Nimesoma gazeti la Mwananchi la leo Januari 31, wanawataarifu kuwa kuanzia Februari mosi bei itakuwa Sh800 kutoka Sh500.
0 Reactions
63 Replies
9K Views
Wimbi la wafanyakazi wa umma kudai nyongeza ya mishahara, posho na marupurupu limechukua sura mpya baada ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT), kupendekeza viwango vipya vya mishahara wanavyopaswa...
1 Reactions
53 Replies
10K Views
hii ni baada ya kutaka kuhamishwa kwa nguvu.mpangaji huyo alifyatua risasi hewani ili kuwafukuza jamaa wa auction mart ambao mara nyingi hutoa vitu nje na kutia makufuli.kweli tunaelekea pabaya...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Nimekuwa nikisikia lowasa kafanya mambo makubwa ila hayatajwi, naomba basi mwenye kuyajua atutajia 1.utasikia shule za kata- 2.alivunja mkataba wa city water 3.Njia tatu haya ni juzi akiwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Muhimbili yafungwa *Huduma zote zasitishwa hadi kitakapoeleweka *Tamko la serikali lasubiriwa kuokoa jahazi *Wizara yahaa kutafuta madaktari wa ziada Na Waandishi Wetu Vitanda vya wagonjwa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom