Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huu mgomo kama unavyosemekana na undani wa madai yake "details" (haijajulikana kiasi gani wanataka) nadhani hautokwisha kirahisi. Nimezungukia Hospitali binafsi mbili hapa Jijini ama kweli kufa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hata wagonjwa wakifa! Mwandishi: Charles Misango NAANDIKA makala hii nikiwa sijali kwa lolote na chochote kitakachonipata kutoka kwa yeyote. Kama wao wasivyojali, nami sasa sijali...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Thu, Feb 9th, 2012 Thu, Feb 9th, 2012Tanzania |Thu, Feb 9th, 2012.. Feza Boys Secondary School student Moses Swai, who was the best candidate nationally in last year's Form Four...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimeangalia kupitia channel ten mkutano wa Bw. Antony Lusekelo a.k.a Mzee wa Upako akiongea na waandishi wa habari juu ya mgomo wa madaktari, jamaa anaonekana kuitetea sana serikali na kuita...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Mwandishi Wetu, Hali ya wagonjwa katika hospitali ya Mwananyamala Manispaa ya Kionondoni ,Dar es Salaam jana iliendelea kuwa mbaya baada ya wagonjwa hao kulalamikia vitendo vya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni ukurasa mpya baada ya baadhi ya wanaharakati kushiriki maandamano ya kuilazimisha serikali ishughulikie mgomo wa madaktari hapo jana. Nilifarijika kwani naamini ni mwanzo mzuri wa kudai haki...
0 Reactions
0 Replies
811 Views
Juzi akihutubia mkutano wa wanachama na na washabiki wa CCM,Kikwete alisisitiza kutowachagua wana-CCM wanautuhumiwa na wale wanaotuhumiwa na ufisadi. Huyu mukulu mbona anatuchanganya? Si yeye...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Namuona mheshimiwa Steven Wassira anang'ang'aa usoni na mikononi yaani yuko mix kama pepsi/mirinda? au kamera za TBC? Yuko hewani jambo Tanzania.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
hiki kipindi cha wanawake live,kinachozungumzia mambo ya wanawake kilikuwa na lengo zuri wakati kilipoanza,cha ajabu cku hizi kimekuwa kama sehemu wa wanawake kwenda kuonyesha mapaja yao,kwani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni kweli mmegoma, hakuna ambaye hajawasikia, but kwa kufanya hivyo hammuikomoi serikari wala pinda wala dr mwinyi au kikwete bali mnawakomoa wananchi wenzenu, either jirani yako au ndugu yako...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
:embarassed2: Hebu tusemezane jamani, Hivi Mh.JK alitumia kigezo gani kumteua Mama Lwakatare Kuwa Mbunge:juggle:?? Maana bado sijielewi, Tusemezane kwa uwazi? mh
0 Reactions
60 Replies
6K Views
Kwa hali halisi ya nchi inavyoelekea nafkiri mwisho wa hich chama cha mafsadi (majambazi) umefka hali ni mbaya sana wakati mshua hajawai kutoa maamuzi yeyote
0 Reactions
6 Replies
2K Views
baada ya kuona mambo yamekuwa magumu hatimaye waziri mkuu mizengo pinda kesho asubuhi atakuwa na mkutano na wadau wote wa afya katika hospitali ya taifa muhimbili.alijifanya kumwaga ugali nao...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa waaminio biblia(ingawa sina uhakika kama hadithi hii iko pia ktk Q'uran Tukufu)tunakumbuka jinsi wana wa Israeli walivyoteseka utumwani Misri mpaka baadhi yao wakauzoea na kuamini ni sehemu ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimesikia taarifa ya habari wagonjwa na kina mama wakilalama wagonjwa kupoteza maisha,zaidi kina mama wajawazito wakipoteza maisha kabla ya kujifungua!zaidi ya yote kuna thread inataarifu juu ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna mada inayo ongozwa na masanja times FM.masanja anasema doctor ndio muhimu kuliko mwalimu.je ukweli uko wapi wakati bila mwalimu hakuna wasomi?mi naona kwa wakati huu ni doctor coz imesha kua...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama kuna kiongozi mbaya kuliko wote kwenye nchi hii baada ya eva aliemdanganya adam,,mfalme yezebeli basi anaemfwata ni spika anna makinda kama umemsikia leo huyu mama akikataa hoja ya kujadili...
0 Reactions
36 Replies
7K Views
Wiki mbili zilizopita,waziri mkuu mh Pinda alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mgomo wa madaktari,aliwataka kurudi kazini ifikapo kesho yake vinginevyo wajihesabu kuwa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Ndugu wanajanvi, Binafsi sijelewi kwa nini rais wetu hajasema chochote kuhusu mgogoro huu. Mimi nilidhani hili ni jambo kubwa ambalo lilitakiwa kushughulikiwa kwa haraka, lakini inaonekana sivyo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom