Tanesco mnaibia wananchi nao wanawaibia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanesco mnaibia wananchi nao wanawaibia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mgt software, Feb 7, 2012.

 1. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,719
  Likes Received: 1,628
  Trophy Points: 280
  TANESCO kama shirika pekee nchini lililiidhinishwa kutoa huduma ya peke ya Ugavi wa umeme nchini, wamekuwa wanatuibia sisi wananchi kwa njia nyingi sana.

  WIZI WA TANESCO>

  1. Njia ya kwanza ni kutoa umeme chini ya kiwango, kwenye mkataba wa wet na wao wanatakiwa kuota umeme wa 220v wao wanatoa kuanzia 180 -160v jamba ambalo linasababisha vitu vingi kuharibika kama vile mafriji, mota mbali mbali. Njia hii hualibu rotator kwa vile kitu kinakuwa kwenye kasi kinastishwa ghafla.

  2. Viwango ambavyo tanesco huwa haivifanyii mnyambuliko kama vile EWURA, na kodi nyinginezo.

  3. Wingi wa vishoka walioacha kazi, hapa wanashindwa kuta taarifa kwa vyombo vya habari kuwa wafuatao sio wafanyakazi tena, vishoka hawa ndio wenye ushawishi mkubwa wakuwashauri wananchi kuibia shirika, meter za luku za magendo, kubana umeme kwenye mita. Ku By-pass.

  WIZI WA WANANCHI.

  1. Hu loop waya unaotoka kwenye njia ya umeme kabla ya kufika kwenye mita na kuweka power condctor, hiki chombo husaidia hili tanesco wakiwa na mashaka wakizima nyumba nzima kutest kama kuna vitu vinaendelea kuwaka kutoka kwenye mita , nayo contactor fuse inazima , wakiwasha nayo inawasha, hivyo ni vigumu kujua kama kuna wizi.

  2. Kuna vishoka wa Tanesco wao ufungua mita na kuiminya , mita hiyo huenda taratibu sana, hivyo ushauri uwe unalipa hela kila mwezi angala 20 tsh ili service charge isiwe nyingi, njia hii wanaitumia watu wenye viwanda vidogo kama kutengeneza mikate


  3. Vishoka wa tanesco a ushawishi watu kwa kula njama na watu wa komputer kutengeneza token feki za ghari kwa gharama nafuu
   
 2. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  hebu wacha watuibie ili wailipe DOWANS..............na hakuna haja ya kuandamana.
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Wao wanamwaga ugali na sie twamwaga mboga,kama mbwai mbwai
   
 4. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,719
  Likes Received: 1,628
  Trophy Points: 280
  eti siku hizi wamefunga GPS na Short detector ya kubaini connection mbadala za wizi, na wakikukamata hakuna kesi, wao hungoa waya mkubwa wa kuingiza umeme ndani faini ni maelewano, utapigwa faini laki nane na kuunganisha upya laki 5, lakiniwao wakituibia au kuaribumali kwa uzembe wao wa kzidisha umeme au kupungua mpaka kiwango cha chini hakuna faini, hii ni haki?
   
 5. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #5
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Mimi nilifikiri uswahilini tu ! Kumbe daah! Wale wa Masaki, Oystr na Msasani, haswa wenye Air Cond. Wanapiga mbayaa !
   
 6. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,719
  Likes Received: 1,628
  Trophy Points: 280
  yaani wakubwa ndio kabisa wezi wakubwa, usiku kucha wanawasha Air Condition na kufua nguo kwa machine kumbe wizi mtupu
   
 7. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #7
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kuna umeme mbadala. Kama hupendi kuibiwa na TANESCO na kuwaibia basi tumia umeme wa SOLAR au WIND TURBINES. Vyote hivi vinapatikana TZ tena kwa urahisi sana.
   
Loading...