Kwa muda sasa sijamuona mke wa ****** aliyekuwa akizunguka ovyo na mishangingi ya serikali na kutafuna pesa za wanaokufa mahospitalini kwa kukosa huduma. Swali langu ni je, viti vya maV8 ya serikali vimewekewa makaa ya moto havikaliki tena au kulikoni? au sikuhizi ananyimwa posho?
Nawasilisha
Nawasilisha