Ubabe wa Pinda katika suala la madaktari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubabe wa Pinda katika suala la madaktari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by trigger, Feb 8, 2012.

 1. t

  trigger Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 95
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 15
  Katika watu ambao nilikuwa naamini wana msimamo na busara ni mh Pinda lakini katika suala la mgomo wa madakteri huyu jamaa nimegundua ni zaidi ya mjinga na angekuwa na busara angeungana na mwenzie EL katika orodha ya mawaziri wakuu waliojiuzuru.Siku ile kwa mbwembwe kawatisha sana madaktari asijue kwamba wanaweza rudi kazini kwa style kadhaa moja kukubali lakin wasiwatibu wagonjwa,wakatoa matibabu mabovu au wasirud kabisa.Leo anaonekana mjinga tena ajiuzulu kwa kusababisha vifo kwa watanzania wasio na hatia na mbele za Mungu sijui atasema nn kwan kama angekubali siku ile kukutana na madaktari leo tusingefika hapa."Leo kwa mujibu wa tbc yupo dar kukutana na madaktari kesho sasa tofauti ipo wap na kama angekubali kukutana nao siku ile ya jumatatu?Sijawah pata ona waziri mjinga kama Pinda,yeye na mponda wajiuzuru kwa ujinga wao na kiburi chao mpaka leo watanzania wengi wamekufa sana.“Shame on you Pinda and step out”.
   
 2. k

  kajunju JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Anajua kulia tu.mim nina wasiwas na wanasheria wa tz.sheria akichanganya na akili zake vinamsaidia nini?shame on pm
   
Loading...