Omba Mgomo wa Madaktari ukupitie Mbali!! Inasikitisha sana huko kitaani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Omba Mgomo wa Madaktari ukupitie Mbali!! Inasikitisha sana huko kitaani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shadow, Feb 8, 2012.

 1. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Tukio la Kwanza:
  Hii imetokea leo alfajiri: Dada anawahi kazini saa kumi na mbili maeneo ya Kijitonyama sayansi. Yeye ni Muajiriwa wa kampuni ya simu za mikononi maeneo ya Moroko na Drive Inn Cinema. Wakati wa kuvuka, gari likamkanyaga na kumvunja mguu mara mbili. MOI pamefungwa, Hospitali zote wanamshahuri aende huko Muhimbili au alipe milioni nne kasha apate tiba.

  Tukio La Pili:
  Kijana apata Ajali. Kikanyagio kinaning'inia. Kapelekwa Temeke Hospitali, wakamwambia kwamba aende Mwanyamala Hospitali. Mwananyamala wakasema hawawezi kumtibuÂ…wakamwambia aende MOI. MOI kumefungwa!
  Wote wako kwenye dawa za kutuliza maumivu!

  Ndugu zanguni tuombe Mungu sana janga hili lituepuke na serikali 'yetu' itatue hili suala la madaktari. Ni hatari na haichagui kipato Â….Madaktari na walimu wawezeshwe!! Na si EWURA, TRA, BOT, TCRA et al.
   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  ngoja kigogo mmoja apate ajali kitaeleweka tu!ataenda Dodoma watamuambia yule surgion mzuri yuko Muhimbili.akifika muhimbili madakta wamegoma.akipanga safari ya Apollo watamwambie appointment ni mwezi ujao.mpaka hali hii itokee ndio wataelewa huu mgomo unamaanisha nini.
   
 3. S

  Shembago JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanza pole sana kwa hao ndugu zetu waliopata hayo matatizo,Ni kweli huu mgomo umeleta shida kubwa kwa watanzania wengi,Watanzania tumwombe Mungu il;i Serikali na madaktari wetu wafikie muafaka maana yeye MUNGU anaweza yote na yote yanawezakana kwa wewe na mimi tunayeamini kwamba MUNGU anajibu maombi.
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hakika, kwa scenarios hizo hapo mbili, huo mgomo ni wa kuusikia redioni tu!
  Poleni sana hao ndugu!
   
 5. W

  WATANABE JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 1,091
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  Tunangoja nini kinachotakiwa ni sisi waannchi kuingia mtaani kuishinikiza serikali iwalipe madakatari maslahi bora
   
 6. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  kama ni kweli, waambie waende kibaha!
   
 7. fyddell

  fyddell JF-Expert Member

  #7
  Feb 8, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 2,082
  Likes Received: 769
  Trophy Points: 280
  Yaani dah! Poleni sana wote mlioathirika au kuguswa moja kwa moja na impacts za mgomo huu. Naimani serikali imepata funzo kubwa sana na kama haitachukua hatua yeyote basi wananchi hatuna budi kuiangalia serikali ambayo haiwajibiki kwa wananchi wake. Nguvu ya umma tu
   
 8. Timtim

  Timtim JF-Expert Member

  #8
  Feb 8, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 603
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Kuwezeshwa kwa madkatari kulingana na mfuko wa serikali sio tatizo. Ni pande mbili hizo kukaa wakaelewana ni kiasi gani ama vipi. Naona kuna tatizo zaidi ya hilo.

  Kama ni ukata wa pesa serikali nyingi hata zilizoendelea pia wana matatizo kama kwetu.

  Busara zitumike madaktari wawaonee huruma wagonjwa. Watanzania tunamjua Mungu tuwaokewe wagonjwa kwa ajili ya Mungu tupate utulivu wa Moyo wote wagonjwa na madaktari.
   
 9. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #9
  Feb 8, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  sad.wape pole
   
 10. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #10
  Feb 8, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,821
  Likes Received: 10,118
  Trophy Points: 280
  Inatisha na inauma sana ila tusimhusihse MUNGU kwenye issue ambazo Walafi fulani hawataki wenzao nao wafaidi, hapa tunampa MUNGU majukumu ambayo yapo within our capabilities.
   
 11. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #11
  Feb 8, 2012
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Ni kweli yametokea ..mpaka sasa ndugu wanatembeza bakuli hili waweze kumnusuru ndugu yao asikatwe mguu!
   
 12. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #12
  Feb 8, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Unafikiri Dr. bake anatoza centi ndogo?
   
 13. King2

  King2 JF-Expert Member

  #13
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Duh! Kazi ipo. Serikali inabidi ikae na ma daktari asap.
   
 14. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #14
  Feb 8, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Unadhani bake ndo hataki hela.
  bila mil3 hatibiwi huko kibaha.
   
 15. b

  balzac Member

  #15
  Feb 8, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Tuangalie upande wa pili,haya ni matukio yanayotokea sana huko mikoani au maeneo ambayo hayako privileged.kwasababu yametokea dar,watu wanaona kama ni mara yakwanza kutokea Tanzania. Huduma za afya ni duni sana, imagine watu wangapi wanavunjika miguu huko vijijini,hata option ya kutibiwa moi hua hakuna, hakuna wataalam,hakuna vifaa!kama TMK au mwananyamala wanakuambia uende muhimbili wao hawawezi, you can imagine hospitali nyingine za wilaya huko mikoani walivyo na hali ngumu.Hapo ndipo utaona madai ya madaktari yana maana.kuboresha huduma za afya, kuboresha maslahi ili watu waende huko vijijini pia kuhudumia watanzania wenzetu. Vinginevyo option wanazo,wanaweza kwenda Bostwana,Namibia au wabaki mijini kwenye hospitali za wahindi na kupiga mishemishe za town. But hizo option zitawasaidia watanzania wote?au waliopo mijini tu? Umeshawahi kufikiria maisha ya watanzania yanayopotea kila siku kwa kukosa huduma bora za afya au kukosekana kwa wataalam au kuhudumiwa na mtaalam ambaye yuko demoralized? watanzania wangapi wanapata vilema huko mikoani kwakua hakuna huduma kama inayotolewa Moi?
   
 16. K

  Kyoombe JF-Expert Member

  #16
  Feb 8, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 649
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  wajaribu kwenda tuu. yule dr ana huruma sana hana tamaa ya pesa.
   
 17. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #17
  Feb 8, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  nisaidie kumshangaa
   
 18. MANI

  MANI Platinum Member

  #18
  Feb 8, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280

  Kweli kabisa mkuu !
   
 19. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #19
  Feb 8, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Siajelewa concept kwamba serikali ndio mkosaji ktk kadhia hii inatoka wapi.
   
 20. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #20
  Feb 8, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  shukran kwa kuona hilo.wananchi wanaangalia ombi letu la nyongeza ya mshahara tu hawaangalii ombi letu la kuboreshwa huduma ya afya.huko mikoani hali tete..wananchi hana hela,nikikuambia ni mara ngapi baada ya kumtibu mgonjwa wananiomba nauli utashangaa..ukipata ajali maeneo kama ya wami next stop ni tumbi,muda wote huo kutoka wami hadi tumbi ushakufa
   
Loading...