Malimwengu---- maajabu ya tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malimwengu---- maajabu ya tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sinafungu, Feb 8, 2012.

 1. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  [h=3]Muhimbili yafungwa[/h]

  *Huduma zote zasitishwa hadi kitakapoeleweka
  *Tamko la serikali lasubiriwa kuokoa jahazi
  *Wizara yahaa kutafuta madaktari wa ziada
  Na Waandishi Wetu
  [​IMG]
  Vitanda vya wagonjwa vikiwa tupu kufuatia mgomo wa madaktari na wauguzi unaoendela katika Hospitari ya Taifa ya Muhimbili (MNH), madaktari bingwa na wauguzi wa hospitari hiyo wameungana katika mgomo huo kuanzia juzi, Dar es Salaam jana. (Picha na Michael Machellah
   
Loading...