KAMANDA MKUU WA MKOA WA DAR AMEENDELEA KUWADANGANYA WANANCHI KWA KUSEMA ILE KASHFA ILIOTOLEWA NA ISSAMICHUZI.BLOGSPOT.COM SI KWELI POLISI WALIOMBA RUSHWA BALI WALIKUWA WAKILIPWA FAINI NA AMETAJA...
ILIKUTOA KUTOA DISCPLINE NA KURUDISHA IMANI YA WANANCHI JUU YA RAISI WAO, KWANZA NINGE VUNJA BARAZA LA MAWAZIRI, KESHA NAVUNJA BUNGE(Ingawa yote yangeweza kufanyika kwa mara moja. Nafanya kwa pozi...
KWELI NINAYO
NAOMBENI MUDA
KPMG wamefanya kazi muda muafaka
Sitopindisha tena kama RIPOTI YA JAIRO
NAAMINI MUNGU ATANISAIDIA KUWA MUWAZI KWA HILI
BWANA AWABARIKI
FRM
CAG
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Helen Kijo-Bisimba (Katikati) akitoa tamko la Asasi za Kiraia kuhusu mgomo wa madaktari unaoendelea na Serikali kutotoa taarifa...
Sio siri mbali na kwamba ni kitovu cha vyombo vya habari, Dar ni mkoa ambao hauna 'effect' linapokuja suala la mabadiliko ktk Tanzania.
Wengi mmekalia porojo tu. Jana tar. 8 Februari, LHRC...
kesho ni siku nyeti sana katika kuamua suala la mgomo wa madaktari.nina uhakika kwamba majibu yote ya madai ya madaktari yako tayari iwe kisiasa,uongo au ukweli.lakini kuna swali moja tu la msingi...
hatukuwa na taarifa na mkusanyiko huo, ni watu walitoka sehemu mbalimbali mmoja mmoja wakazunguka maeneo ya Palm Beach na kuingia barabarani na kuzuia magari yaliyosababisha foleni ndani ya...
.jana tarehe 8-02-12 gari ndogo iligonga mtu na kufa papo hapo na kusababisha wanakijiji kuvamia barabara na kuiziba kwa mawe.polisi ilifika mapema eneo la tukio na kuzungumza na wanakijiji,madai...
Najua wenye kubisha watakuja kubisha,lakini haya tuliyonayo sasa ni matokeo ya urithi wa Mwalimu nyerere kwetu,
Mwl alikuwa ni kiongozi msemaji sana kuliko vitendo,kifupi alikuwa simtendaji ila...
Kuna habari kuwa asubuhi ya leo mh Pinda atakutana na watumishi wa Idara ya afya walio ktk mgomo.Hakuna atakayenishawishi kuwa waziri mkuu Pinda atakuwa na majibu ambayo wataalamu wa tiba...
Hivi Kuna mtu anaijua Job description ya JK sababu sielewi anafanya nini Magogoni, Pia anakuwa jinsi alivyo sababu jinsi ya kumwajibisha haipo wazi hapa ndipo tunapoitaji katiba mpya hata leo leo...
Wanabodi.
Leo ni Jumatano ya sita kila nikipita kwenye meza za kuuzia magazeti mitaa ya Kariakoo..
Inasikitisha kuona Gazeti la Mwanahalisi kupoteza mvuto wake iliokuwa nao apo mwanzo sijui...
Huu mgomo kama unavyosemekana na undani wa madai yake "details" (haijajulikana kiasi gani wanataka) nadhani hautokwisha kirahisi. Nimezungukia Hospitali binafsi mbili hapa Jijini ama kweli kufa...
Hata wagonjwa wakifa!
Mwandishi: Charles Misango
NAANDIKA makala hii nikiwa sijali kwa lolote na chochote kitakachonipata kutoka kwa yeyote.
Kama wao wasivyojali, nami sasa sijali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.