Kwa hili la mdomo wa Madaktari serikali tumejifunza nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hili la mdomo wa Madaktari serikali tumejifunza nini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tete'a'tete, Feb 8, 2012.

 1. tete'a'tete

  tete'a'tete JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 474
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nchi yetu inakoelekea ni kubaya! kwa hili la mgomo wa madaktari hii serikali yetu wameshafikiria baada ya hili Je watafuata kina nani maana orodha iko kubwa sana..wanatakiwa kutumia busara sana katika swala hili zima la migomo...ila Tanzania bila migomo inawezekana...
   
Loading...